Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

Ninyi wakataa ndoa,wengi wenu mnakuwa mna tabia Mbaya!(Ushoga) ! Kwanini unakinzana na kusudi la Mungu ilihali hauwezi kujizuia?? Ukiamua kuikataa Ndoa ni Vyema Ukaacha Ngono pia!
Kama Hauna Mpango wa kuoa,tafadhali usiwachukue Hao watoto kwa Mama zao! Kesi za kulawitiwa watoto na Baba zao zimekuwa nyingi sanaa! Ni Vyema uendelee kuwatunza wakiwa hukohuko

Mbona una "accuse" watu na hoja chafu hivi...

Mimi Nina uhusikaje na ushoga.

Na walioacha ndoa zao wakawa single NA WAO NI MASHOGA??

#YNWA
 
Maswali ya muhimu kabla ya kuacha kazi.
Je, biashara yako inaingiza kipato zaidi ya mshahara wako? kama ndio unaweza kuacha kama hapana ikuze kwanza.
Je, upo tayari kuweka nguvu zako kwenye biashara yako zaidi?
Je, umeiweka biashara yako katika mfumo wa kujiendesha au ndo ile "lazima niwepo ili iende"?

Huwezi kataa kuwa elimu yako ndio ilikuasaidia kuinua biashara lakini ukifika muda wa kuhama usiwaze sana kuhusu kwanini ulisoma.

Amen.

#YNWA
 
Mi naungana na mdau aliyesema uache kiburi, ongea na watu upate uhamisho uhamie iliko biashara yako.

Ukishafanikiwa kuhama ndipo utaweza kujifanyia assessment ikiwa unaipenda kazi yako au hauipendi tena.

Jitahidi kuifanya biashara yako ijiendeshe bila micromanaging, all successful business hazihitaji uwepo ili ziende, zinahitaji uajiri watu sahihi ili ziende, kama biashara haijafikia kiwango hiki elewa kuwa bado haijakua, endelea kuilea ikomae hapo baadae utaacha kazi.

Nasisitiza: unaweza dhani unakichukia kitu kumbe una hasira nacho, ondoa hasira ndio utajua unakichukia au haukichukii.

NB. Kama biashara yako haikulipii mshahara, haikuhudumii kwa chochote, haikulishi bado haijakua, Tz biashara nyingi za watumishi ni za aina hii, mtu anahisi biashara yake ni kubwa kumbe ni kitengo cha kutakatishia pesa zinazochotwa, uhalisia utakuja ikiwa mrija x wa pesa utafungwa.

Kila la heri mwenyekiti WAWANDO (wa wakataa ndoa)
 
Kifupi biashara yangu huzalisha faida ya 40,000 na zaidi Kwa siku.

#YNWA
 
GREETINGS.
Haloo wananchi wote wa JF, hamjambo?
Baada ya salamu twende kwenye mada...

INTRODUCTION:-
Mimi ni mtumishi wa umma niliye ajiriwa 2012 na fani x (diploma) kwa level za kata (Afisa wa katani @ SIO MTENDAJI KATA).
2013 nikaenda chuo na kurudi 2018 na masters (niliunga) ya fani y.

Nikiwa na furaha na niite bahati, kurudi tu kazini nikapewa ofisi ya fani y, yaani nilimaliza chuo na kurudi kazini November 2018 na January 2019 nikahamishiwa halmashauri.

Niite bahati kwasababu, imekua ngumu kwa watumishi wengi kutoka Shule tu na ofisi zao za Utumishi wakawabadilishia Kazi zao (rectegorization au kuwahamishia kwenye vitengo walivyosomea).

Nilifanya Kazi kwa furaha na juhudi sana na 2019 nikapokea barua ya kubadilishiwa muundo (recategorization).

Niliona zile ndoto zangu za kuwa mkubwa kama zinaanza kutimia hivi na nilifanya Kazi kwa juhudi sana.

Fani y ndio niliyokuwa naipenda.

Fani x nilisomea tu kwa vile nilikuwa yatima na nilikosaga ada ya kusomea fani y miaka hiyo.

Ila hiyo fani x ndio iliniingiza serikalini.

SCENARIO:-
2020 likatokea jambo kazini, mara TAKUKURU hao, mara CAG huyo, mara kamati ya kutuchunguza hiyo, mara usalama wa taifa huo.

Kifupi vitu vilikuwa vingi, ila iliamriwa tusimamishwe Kazi.

Tukiwa tumesimamishwa Kazi niliamua kufungua biashara.

Baada tu ya kusimamishwa Kazi nilitumia wiki 2 kutafuta frame na kuanza biashara.

Baada ya miezi 7 nikarudishwa kazini na mambo yakaendelea.

Ila biashara yangu ilikuwa ya moto sanaa (inauza sanaa).

PROBLEM.
Baada ya kurudi kazini Kuna mambo nikaona yamebadilika.

1. Upendo na ile Kazi ukapoteaaa kabisaa

2. Nilikuwa mtoro balaa mpaka Mkurugenzi aliandika barua kwenda Utumishi ya Mimi kuvuliwa madaraka na kupewa mwengine.
Yaani aliyekuwa kijana wangu wa chini sasa hivi ni boss wangu..!!!

3. Kuona hii ajira siipendi Tena, nikaona nitafute uhamisho, changamoto sasa, Mkurugenzi kagoma kabisaa kusaini barua zangu za kuniruhusu nikatafute post kwengine.
Anasemaga "bado nakuhitaji sanaa na siwezi kukuruhusu uondoke"

4. Nakiri; kunivua madaraka hata sijamlaumu, kiukweli kabisa nimekuwa mtoro balaa, siipendi Kazi Tena (kwasasa napenda sanaa biashara yangu na wanangu).

5. Yaani kazini naweza pitisha wiki sijasaini daftari la mahudhurio maana naingia saa 3 au 4 asubuhi na "ole wako uniulize lolote juu ya hilo..!!""

6. Yaani kwasasa siipendi Tena hii halmashauri, siipendi Tena hii Kazi (niliyokuwa naiwaza kuifanya miaka hiyo), kifupi HII OFISI NA KAZI YA SERIKALI SIVIPENDI KABISAAA.

BIG PROBLEM.
Kuona nawaze kujiharibia future kazini nikaona nishirikishe wakubwa.

Hao wakubwa nao wamenipa ushauri ambao HATA SIJAUKUBALI.

Ninachonipa "Huu ukichaa wa kutopenda Kazi" ni kwamba NAHITAJI KUWA HURU.

Nahitaji kuwa kwenye biashara zangu masaa 24,
Nataka chochote kinachotokea kwenye biashara nikione, KIFUPI BIASHARA IMENIMEZAA HASAA yaani ROHONI na NAFSINI NAWAZA BIASHARA ZANGU.

Naweza kuwa ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni ila nikaishia ku-google na kusoma mambo ya biashara hiyo, nikaishia kupiga simu dukani na Kwa wateja badala nifanye Kazi za watu..!!!

Ushauri..
1. Shangazi yangu aliniambia "NIOE" halafu mke ndio asimamie halafu Mimi niendelee kupambana na ajira.
HUU USHAURI NILIGOMA KABISAAA

2. Boss mmoja, aliniambia nitafute uhamisho ili niwe karibu na biashara yangu.
Nikaona hili wazo ni sahihi, kwa maana biashara yangu ipo mkoa wa jirani na niliko.
Ila sasa tokea 2021 nianze harakati za kuhama basi Mkurugenzi kagoma kabisaaa kunisainia barua ya uhamisho ili nikatafute post kwengine (mkoa ilipo biashara yangu), hili swala LIMEFANYA NIMCHUKIE KABISA.

Nikawaza kuacha Kazi.

Nina watoto wawili mmoja darasa la 3 mwengine la 2.
Hawa watoto nawaelewa sanaa, nawasomesha Shule ada Mil 2.7 *2 (Mil 5.4, WANASOMA SHULE MOJA).
Wapo Dar kwa mama zao (kila mmoja na mama ake), ila tunawasiliana kila siku.

Nahitaji kuhama niende kwenye biashara zangu halafu niwavute wanangu ili niishi nao.
NAWAPENDA SANAA WANANGU.

Nawaza kuacha Kazi ili nikakomae na biashara yangu.

CONCLUSION.
Sina wazo la kuoa na wala sitaki kuoa, hivyo sihitaji kuwa na mtu wa kusimamia biashara sijui kunisaidia kulea.

Nikiangalia Kazini napata hela na biashara napata pesa.

Kwahiyo nipo dilema, nikisema niache Kazi Kuna pesa itapwaya tu kwenye maisha yangu, sasa naona kama duka litahelemewa na majukumu.

NIA YA KUACHA KAZI NINAYO, ILA SABABU SINA..!!!

Ukicheki nilisoma sanaa kwasababu ya hii Kazi ila SIIPENDI TENA.
Mpaka muda mwengine nawaza KWANINI SASA NALISOMA SANAAA HIVI?

Ushauri wenu na MSAADA WENU MUHIMU SANAA.

Asanteni.

#YNWA
Kiufupi wewe hushauriki na haina haja kukushauri labda ukishindwa upande wa kataa ndoa kataa kuoa ndio ntskushauri ila Kwa Sasa ubaki hivyo hivyo kibaharia.
 
Em niajiri mm chap nikusimamie hyo biashara Yako we ufanye kazi
 
Endelea kutafuta uhamisho,Mwajiri kukomenti kuwa bado anakuhitaji sio jibu la msingi mtumishi anapoomba uhamisho.Kama una sababu ya msingi ya kuomba uhamisho,omba copy ya barua yako nenda Tamisemi watakusaidia.

Hata kama ni mimi nisingekuwa na amani kwenye kazi kwenye halmashauri ambayo walikutuhumu wakakusimamisha kazi alafu wakakurudisha tena kazini.

Pia kitu ambacho ukifahamu ndugu ni kuwa ukiacha kazi mwenyewe hilo deni la mkopo utalipa tu kwa namna ya mkataba wa mkopo unavyosema.
 
Tangia niwe kwenye hii ofisi, nimeshuhudia watu wa3 wameacha Kazi.

Wawili walifungua biashara k.koo na wanaendelea.

Mmoja alifungua biashara Mbeya mjini, ilikufa akakimbilia kwenye ajira ya NGO, Hakurudi serikalini.

Sasa kwanini Mimi niwe kwenye huyo mmoja na sio hao wawili?

#YNWA
Kuacha kazi ni vita iliyopo mioyoni mwetu wengi inahitaji roho ngumu kuacha kazi ila IPO siku nitaamua
 
wee jeurika na ako ka biznes utakuja kutamani kufuta koment humu..

hayo ni maisha yao na siri ya mafanikio katu akuna ataekuambia vyote zaid utaambiwa juujuu tu ili uzoleke km mzoga.
Usimtishe bhana watu wengi tu wameacha kazi na maisha yanasonga fresh,,kusaini km mfungwa Kila siku ni utumwa..
 
Ushauri wangu ni kuwa chukua ofisi Y na ugawanye na fani X huku ukizingatia kuwa hiyo Y ukiiongezea kakitu kadogo kwa chini inaweza kugeuka X na hiyo X ukiifutia kakitu kadogo kwa chini inageuka kuwa Y

Baada ya hapo ujue duniani ukishakuwa mtu mzima na hujafa ukiwa mtoto machaguo ni mawili uoe au uolewe kwakua umekataa kuoa chaguo la pili litakufaa.

Fata msimamo wako
 
Sina ushauri ila sasa nimeelewa kwanini serikali ina wafanyakazi wengi inaowalipa mishahara lakini hakuna wanalofanya kwa sababu wanajua hawawezi kufukuzwa.
Ndio maana unaenda kwenye ofisi ya serikali badala mtu akuhudumie yuko busy na simu hajali maana anajua mshahara utakuja tu.
Poor Tanzania...
Ungekuwa mzalendo ungepambana kuzirudisha 1.5Triliiliiiiiiiiiiiion na hapo kati Kuna 7.5B wewe unataka tufanye kazi km punda huku nyie mkitanua kwenye V8.... Walioshika mpini hawataki mifumo imara Ili waendelee kupiga .... Boss wangu nishamwambia muda wa kazi ukiisha tusisumbuane we have family to feed
 
Back
Top Bottom