Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

Mwanakulifind, uliomba kazi ukapata kazi, sasa una kazi unaona kazi kufanya kazi, sasa acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi.

Baada ya muda plz ulete mrejesho hapa kutakua na la kujifunza.

#GGMU.
 
Usiache kazi endelea na kazi huku ukiendelea kutafuta namna nzuri ya kumshawishi bosswako Uhame
 
As soon as they dump you, get into a new relationship and enjoy love. There's no time to heal, you're not sick.
 
Oa mkuu oaaa apo unahitaji ushauri na faraja toka Kwa mke, watoto Kila mtu anaoπŸ˜€ unless utaangamia
 
Bro umeamka sasa toka usingizini.....Hakikisha tu Biashara ina uwezo wa kujiendesha yenyewe na kukupa zingine mbili zaidi ndipo unaweza kufikiria kujiondoa taratibu toka utumwani.
 
Tafuta kijana muaminifu akusaidie then angalia jinsi ya kukuza biashara zaidi ikisimama ikawa inaweza kucover na pesa unayopata kazini kimbia.

Ila akili zako eti unachukua mkopo then unakimbia sasa utalipaje? Maana si wanakata kweny mshahara
 

Riwaya ya maisha yangu
 
Mkuu mimi nakupa ushauri wa mwisho ukishindwa kuufanyia kazi shauri yako nipe dk 2
 
Kiongoz wa wakataa ndoa vunja mwiko oa mana una pesa mke atakuheshimu tu
 
Mkuu kwani wewe ni wa kwanza kuacha kazi?
Uliwahi sikia mtu aliondokana na utumwa wa ajila akawa na maisha magumu?
Miezi saba nje uliishi kwa njaa?

Pata ushauri kwa fundi kiyosaki wengine hatujui kushauri vizuri.

Ukimaliza nicheck nikupe mzigo wa tajiri wa babylon
 

Attachments

Mimi nakushauri tu endelea ku KATAA NDOA
 
Ninyi wakataa ndoa,wengi wenu mnakuwa mna tabia Mbaya!(Ushoga) ! Kwanini unakinzana na kusudi la Mungu ilihali hauwezi kujizuia?? Ukiamua kuikataa Ndoa ni Vyema Ukaacha Ngono pia!
Kama Hauna Mpango wa kuoa,tafadhali usiwachukue Hao watoto kwa Mama zao! Kesi za kulawitiwa watoto na Baba zao zimekuwa nyingi sanaa! Ni Vyema uendelee kuwatunza wakiwa hukohuko
 
Hivi siku ukiugua ghafla (siombei hivyo) nani anakusaidia? Au bado unakaa kwenu? Kuna umri ukifika ni dhairi shairi kwamba angalau uwe na msaidizi wa kutoa msaada endapo kitatokea chochote hasa kinachohitaji privacy yako.
Haswaa..
Huyo dogo akikua ataelewa!
 

Yap baada ya kurudishwa kazini kila kitu kwangu kikawa kigeni.
Huwa nahisi kama "Am not belonging here"

#YNWA
 
Maswali ya muhimu kabla ya kuacha kazi.
Je, biashara yako inaingiza kipato zaidi ya mshahara wako? kama ndio unaweza kuacha kama hapana ikuze kwanza.
Je, upo tayari kuweka nguvu zako kwenye biashara yako zaidi?
Je, umeiweka biashara yako katika mfumo wa kujiendesha au ndo ile "lazima niwepo ili iende"?

Huwezi kataa kuwa elimu yako ndio ilikuasaidia kuinua biashara lakini ukifika muda wa kuhama usiwaze sana kuhusu kwanini ulisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…