Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Umeua wangapi hadi sasa?Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Mbona serikali yako haifi?Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Mwaka karibu wa tatu huu, mimi nilikuwa namwambia huo ugonjwa sio silaha hiyo.Muda wako haujafika lazima ukumbwe kama kweli ulimkoseaškaa chonjo
Acha ukorofi na tunza vitu vyako vizuri kwa usalama wako na wa watu wengine.Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Sijaua Ila wanakufa na kupata matatizoUmeua wangapi hadi sasa?
Ahaa sawa mkuuAcha ukorofi na tunza vitu vyako vizuri kwa usalama wako na wa watu wengine.