Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

Hakuna kitu kama hicho,cha kuabudu Mizimu na MUNGU kwa pamoja..labda kama unaabudu miungu/mungu...yote kwa yote hongera kwa hiyo KARAMA
 
Ina maana nyie mnanguvu za asili kama kina mwana malundi. Hizo nguvu zimefifishwa na mambo ya dini na serikali.
Kuna dada mmoja mbeya alikuwa ana nguvu za asili( uchawi) hajawahi fundishwa na mtu yoyote. Alikuwa ni mzuri ila vijana walimgwaya sana sasa sijui maisha yake yameendaje.
 
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.

Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.

Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.

Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Umeua wangapi hadi sasa?
 
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.

Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.

Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.

Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Mbona serikali yako haifi?
 
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.

Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.

Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.

Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Acha ukorofi na tunza vitu vyako vizuri kwa usalama wako na wa watu wengine.
 
Back
Top Bottom