Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Mapenzi yamenitoa machozi,
Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana.
Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa kila kitu lakin inashindikana
Hataki niwe mume wake, lakini kanikubalia upenzi wa muda tu, Kanionjesha tunda mara moja kwa masaa machache, ndipo nimebaki nalia nikidai anipe tena, ulichonionjesha ni kitamu zaidi ya Asali.
Pia soma: Mrejesho: Mwanaume nilie lizwa na mapenzi