Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
- #81
Nimekuelewa vizuri.Mkuu jifunze kuwa na kiasi, hata misingi ya kidini mingi inashauri kiwa na kiasi kwa kila kitu. Hii ina-apply hata kwenye mapenzi, ukishamwonyesha mtu unamjali na kumpenda sana, kupita kawaida unampa hali ya kujiamini na atakuona kama fungu ambalo lipo tu. Unavyozidi kumpenda mwanamke ndivyo unavyomweka mbali na wewe. Jaribu kuwa na moyo mgumu, wanawake watakuumiza kichwa ukiwaweka sana nafsini mwako.
Ukiweza kumaster hili utaona wanawake wanavutika zaidi na wewe. Jiulize kwanini wanawake huwapenda wanaume wanaowapuuzia, na kuwaepuka wanaume waliozama katika mapenzi nao?
Kubwa mimi kilichokua kinanitesa ni kwasababu huwa sipendi kushindwa kirahis.
Nafanya kazi vijijini, warembo ni wachache sana, kila ukiona mzuri huku unapata ni mke wa mtu.
Vitoto vidogo sipend
Sasa huyu work mate wangu ndo anabakia Queen peke yake.
Huyu dada, Natamani angekua mbali tu na mimi,
Akiwa karbu yangu anazidi kunichanganya tu.
Nimempenda hadi mimi mwenyewe najishangaa, but najua ananisumbua kwa sababu sina plan B ni yeye peke yake ndo ananivutia.