Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

Tatizo ulikosea,,,,Alipokuonjesha ulitakiwa ufanye maajabu...sasa inaonesha uliweka shoow ya kichovu
 
Poleee sana,
Vipi Pesa unazo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunao penda usituone wazembe dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado mbna hilo trailer, bado movie enyewe,
Achana na mapenzi, fanya mambo mengine wee. Khaaaaah
 
Tatizo ulikosea,,,,Alipokuonjesha ulitakiwa ufanye maajabu...sasa inaonesha uliweka shoow ya kichovu
Show ilikuwa ya kibabe cyo ya kichovu hata sema ndo ivo hatak tu kunielewa tu
 
Katika vitu ambavyo huwa naregret kwenye maisha ya ujana wangu ni kulazimisha mapenzi..
Mtu kama hakupendi hakuna namna utafanya akupende, cha zaidi atakuigiziatu.
Acha kupoteza muda, mapenzi acha yaje yenyewe na sio kulazimishana lazimishana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom