Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

Kijana pole sana!! Mimi nilishapitia hali hiyo muda kidogo najuwa unavyoumia, nilimpenda mdada nikawa kama sina akili lakini alikuwa ananisumbua sana hasa anapolkuwa na mwanaume mwingine!!!! nilikuwa naumia hasaaaaa!!!! basi ikafika sehemu nikasema sasa inatosha nikachuka hatua zifuatazo
- sikumpigia simu wala maseji kama ilivyoukuwa kawaida yangu
-tukawa tunaonana status tuuuu, nikituma anaangalia nami namuangalia za kwake
-ulivyopita mwezi na nusu nikamzuia kuona status zangu, naona zake tuuu
-akawa anapiga simu sipokei mwezi mzima
-Finally nika block contact na kudelete namba yake kabisa.
-Alifanikiwa kunipata mara moja kupitia namba ya mdogo wake ambayo sikuwa naijuwa na kuomba msaada wa lift niwapeleke agakhan hospital
nikakubali kuwapitia na ku wapeleka lakini huwezi amini niliitikia salamu tuuu wala sikupiga story mpaka nawashusha agakhan.
-Baada ya wiki mbili alifanya hivyo mara ya pili sikupokea then wakatumia namba nyingine ya voda ya huyohuyo mdogo wake sikupokea lakini nilivyoenda iangalia kwa tigo pesa nikaona jina la mdogo wake hapo ikawa ndo mwisho sijapokea tena simu yake na ikawa mwisho wa kunipipgia simu
-Nilimuona amepungua sana na amekuwa mtu mwenye hamu ya kuendeleza mazungumzo ila nimeweka barrier ya kufa mtu.
-Dogo kuwa shujaaa fanya maamuzi kwa hatua then utakuja niambia lazima atakuheshimu na just move on, otherwise akisha juwa mapungufu yako ya kumpenda utamkoma!! hao watu hawapendi uonyesha umekufa juu yake.
Take my advice you will remember me. Nawakilisha!!!!
 
Umejuaje kuwa wewe ni Mwanaume mwenye Hekima??.Mtu mwenye Hekima hajisemi mwenyewe bali watu wengine ndio husema kuwa fulani ana Hekima.
 
Shida mwenzio huyu binti Nipo nae ofisi moja.
 
Hizo hekima unazodai unazo, wanakutania tu….

Shida mwenzio huyu binti Nipo nae ofisi moja.
Hiyo scenerio niliyokupa mimi niko nae ofisi moja ila floor tofauti, nimejizuia kabisa kuonana nae wakati ule muda mwingi nilikuwa nampa lift ya kwenda na kurudi nyumbani, kuwa jasir zuia kuonana naye.
-Hutakiwi kabisa kuwa na hekima kwenye hili, unatakiwa kutumia akili tuuuu kama kweli unataka kushinda katika hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…