Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

Ahsante kwa ushauri
Ahsante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Ungepeleka moto Mzee, show ya kwanza huwa tunafanyiwa tathmini….. naona wengi wanazuunguuukaa ila tatizo ni hapo tu.
 
Rubbish! Halafu eti mtu Kama huyu atapigania Katiba mpya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wavulana bhana ndio wanatufanyaga tudharaulike wanaume tunaoishi Dar, bora kwa sasa nipo Rorya, huku hakuna kubembeleza demu akizingua ni mitama kerebu za uso na bakora za mgongoni akalie porini maana hathubutu kusimulia
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole
 
Mkuu jifunze kuwa na kiasi, hata misingi ya kidini mingi inashauri kiwa na kiasi kwa kila kitu. Hii ina-apply hata kwenye mapenzi, ukishamwonyesha mtu unamjali na kumpenda sana, kupita kawaida unampa hali ya kujiamini na atakuona kama fungu ambalo lipo tu. Unavyozidi kumpenda mwanamke ndivyo unavyomweka mbali na wewe. Jaribu kuwa na moyo mgumu, wanawake watakuumiza kichwa ukiwaweka sana nafsini mwako.

Ukiweza kumaster hili utaona wanawake wanavutika zaidi na wewe. Jiulize kwanini wanawake huwapenda wanaume wanaowapuuzia, na kuwaepuka wanaume waliozama katika mapenzi nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…