Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

Nimekuelewa vizuri.
Kubwa mimi kilichokua kinanitesa ni kwasababu huwa sipendi kushindwa kirahis.
Nafanya kazi vijijini, warembo ni wachache sana, kila ukiona mzuri huku unapata ni mke wa mtu.
Vitoto vidogo sipend

Sasa huyu work mate wangu ndo anabakia Queen peke yake.

Huyu dada, Natamani angekua mbali tu na mimi,
Akiwa karbu yangu anazidi kunichanganya tu.
Nimempenda hadi mimi mwenyewe najishangaa, but najua ananisumbua kwa sababu sina plan B ni yeye peke yake ndo ananivutia.
 
Utakuta mwanamke mwenyewe anabebwa na uzuri tu ila akili ni zero, hela hana wala kazi ni mshamba wa kawaida tu then anakuliza bado unajiita mwanaume kulalake.
 
Mkuu. Kama kupenda mim nlimpenda sana yule mwanamke mshenzi lakin nimeweza kumuacha, sembuse wewe. Be a man hukuumbwa kwa ajili ya uyo tu, tafuta mwanamke mwingine uyo utamsahau
Sure, nipo kwenye hiyo processs aisee
 
Kanionjesha tunda mara moja kwa masaa machache, ndipo nimebaki nalia nikidai anipe tena, ulichonionjesha ni kitamu zaidi ya Asali.

Nimesoma mrejesho ndio nikaja huku,, kiukweli nimecheka sanaaaaaaaa..

Mwanaume kulia lia hivi ni ukenge - alisikika mwana Jeiefu akisema
 
Mapenzi yenyewe hayajielewi.. viumbe hai tutachukua mda wa miongo mingi sana kuyaelewa.. yatatutesa sana
 
Pole mkuu.

Mapenzi hayana bouncer..

Usikute hata mbabe Putin , kuna mtu anamwendesha kimapenzi hahahahah
 
Kaishakuona wewe ni popoma, kuanzia leo futa hicho cheo cha UANAUME.

MWANAUME hawezi kuwa kama wewe jamaa yangu.
 
Shida mwenzio huyu binti Nipo nae ofisi moja.
Wewe utakoma,utachakata,utapigika haswaaa.......wenzio sehemu Kama hizo huwa tunakula kimasihala hatujengi urafiki wa mapenzi. Katika maisha yako usitengeneze urafiki wa mapenzi na mate wako yoyote yule
 
Mapenzi hayana komando, mtu yoyote yanaweza muumiza
 
Hili nifundisho kwangu, nimekua king'ang'anizi wa vitu vingi sana kwa Mungu wangu.

Sasa nimezidi kufahamu kuwa Mambo mengine afanye tu Mungu atakavyo amua yeye wala si kwa mapenzi yangu

Relax mkuu,, mapenzi ni timing tu... Yupo mmoja nawewe utampatia atakupa mapenzi kama yote..

Ila USIOE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…