Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Nenda wewe ukajiandikishe,hakuna aliyekuzuiaKwa hiyo na uchaguzi mkuu wa 2025 unashauri tusifanye uchaguzi wa Rais kwa kua matokeo tayari unayajua!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda wewe ukajiandikishe,hakuna aliyekuzuiaKwa hiyo na uchaguzi mkuu wa 2025 unashauri tusifanye uchaguzi wa Rais kwa kua matokeo tayari unayajua!!??
Ni hivyo hivyo, kuna watu kwenye maisha haya wanabadili mambo kadhaa, mfano, umri unabadilika, aliyekuwa na miaka 17 akiitwa mtoto Sasa anakuwa 18 mtu mzima, aliyekuwa single sasa kapata mwenza na kama ni mke jina Linabadilika, anuani zinabadilika nk. Si anaenda kuboresha?Nimeona Post yako humu JF ukitujulisha kuwa umejiandikisha na umeboresha taarifa zako kwenye daftari la mpiga kura, ni jambo jema kutujulisha ila ninapenda nijue hizo taarifa ulizoziboresha ni za kwenye daftari lipi! Sisi huku kwetu daftari ni moja tu na tulichojiandikisha ni jina na umri tu. Kama wewe umeboresha na taarifa zako inamaana sisi tumefichwa mambo ya ziada ili uandikishaji wetu uwe batili kwa kutotimiza vigezo.
Natumai nitapata maelezo sahihi toka kwako waziri.

Natumai nitapata maelezo sahihi toka kwako waziri.View attachment 3122389
Ni mwandaqazinu pekee ndiye anaeweza kuandikisha bila ya kujua nani atakaemchaguaLeo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.
Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.
PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.
Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.
Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.
Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.
MWISHO.
View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
Kuhusu dawa za tiba asili; vema kufahamu kuwa, nchi yetu inayo Sheria na. 23 ya Mwaka 2002 ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala. Chini ya sheria hii, kuna Baraza la usajili wa dawa za tiba asili na kuna wataalamu chini ya kurugenzi ya Tiba asili. Vyote hivi viko chini ya wizara ya afya. Soma hata hotuba za bajeti utakuta maelezo. Hizi siyo dawa za mtu binafsi wala maamuzi binafsi.Mh Waziri najua huna namna ila ukweli unaujua.
Nikiri wazi mwaka 2015 nilisimama sana na JPM naomba niseme sana..na ni mtu ambae niliamini at least anaweza kupush baadhi ya vitu kwenye huu mfumo mbovu tulionao..nashukuru kafanya mambo mengi mazuri ila mambo mawili ambayo nilimdharau ni issue ya Covid-19 ambayo wewe binafsi pamoja na elimu yako ulifanya vituko sana huku ukiona watu wakiteketea ule ulikuwa ni Unyama sijui kama unajua.....la pili kuvuruga Uchaguzi wa 2020 hili liliathiri na litaathiri Taifa kwa kipindi kirefu sana...nikuhakikishie it is very Tough to fix
penda usipende...Muda utaongea.
Ni hayo tu.
Kujiandikisha jambo moja na fairness kwenye uchaguzi jambo jingine, mwaka huu mtajiandikisha wenyewe na mtapiga kura wenyewe.Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.
Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.
PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.
Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.
Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.
Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.
MWISHO.
View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
Ahsante kwa kunieleza japo mimi nilitaka jibu, uliyonieleza hayana nafasi kwenye hicho kituo kwani hawana vitendea kazi zaidi ya kaunta buku na peni! Ukifika kwa mwandishi anakuuliza jina na umri, anaandika hilo jina na umri wako kisha anaandika na anakutaka uweke saini yako, mnakuwa mmemalizana.Ni hivyo hivyo, kuna watu kwenye maisha haya wanabadili mambo kadhaa, mfano, umri unabadilika, aliyekuwa na miaka 17 akiitwa mtoto Sasa anakuwa 18 mtu mzima, aliyekuwa single sasa kapata mwenza na kama ni mke jina Linabadilika, anuani zinabadilika nk. Si anaenda kuboresha?
Ahsante kwa mjadala wa kueleweshana🤝
Nashukuru kama tayari umeshajiandikisha. Ulivyojiandikisha ndiyo na sisi hivyo hivyo tumefanya na kusaini kama ulivyofanya wewe, sasa tuna uhakika kumbukumbu zetu ziko vizuri. Nakutakia Kila la heri.Ahsante kwa kunieleza japo mimi nilitaka jibu, uliyonieleza hayana nafasi kwenye hicho kituo kwani hawana vitendea kazi zaidi ya kaunta buku na peni! Ukifika kwa mwandishi anakuuliza jina na umri, anaandika hilo jina na umri wako kisha anaandika na anakutaka uweke saini yako, mnakuwa mmemalizana.
Picha ambazo nimeziona kwenye vituo vingine zinaonesha tofauti ya uandikishaji kwani hawatumii kaunta buku bali zinaonesha wanajaza karatasi zenye kopi! Inamaana aliyejiandikisha anaondoka na kopi wakati mimi sina ushahidi wa kujiandikisha kwani sina kopi.
Mwisho nikujulishe uandikishaji huu hauhusiani na ule wa tume ya uchaguzi ambao una taarifa ulizozitaja.
Asante, kama kuna kilichokosewa ni vema kikasahihishwa mapema vinginevyo uandikishaji nilioufanya hauna tija kwani ni wa holela.
Eleza hizo fomu wanazojaza zinahusiana na nini na mbona hakuna kaunta buku?Nashukuru kama tayari umeshajiandikisha. Ulivyojiandikisha ndiyo na sisi hivyo hivyo tumefanya na kusaini kama ulivyofanya wewe. Hivyo tunafanana tu usiwe na hofu, hatujatofautiana. Nakutakia Kila la heri.
Tatizo lake huyo ana ku attack wwe kama wwe ,anasahau kua wwe ni taasisi ya Rais, na maamuzi yako ni maamuzi ya taasisi! That what we call Presidential power! No one to question ni utekelezaji tu!!Kuhusu dawa za tiba asili; vema kufahamu kuwa, nchi yetu inayo Sheria na. 23 ya Mwaka 2002 ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala. Chini ya sheria hii, kuna Baraza la usajili wa dawa za tiba asili na kuna wataalamu chini ya kurugenzi ya Tiba asili. Vyote hivi viko chini ya wizara ya afya. Soma hata hotuba za bajeti utakuta maelezo. Hizi siyo dawa za mtu binafsi wala maamuzi binafsi.
Vema kuwa tuna fuatilia utekelezaji wa taarifa mbalimbali za taasisi zetu nchini kwani, ni taasisi rasmi chini ya sheria hii. Huenda umefika wakati wa elimu kwa umma kuongezeka kuhusu uwepo wa sheria mbalimbali na taasisi zake na kazi zake na matokeo yake.
Ahsante
Kuna watu wanazani eti Bongo kama Ulaya uchaguzi wa serekali za mita eti hadi ma finger prints, Bongo andika jina sepa,njoo siku ya uchaguzi upige kura yako, alafu jifanye sasa uje kutaka kupiga kura wakati hujajiandikisha utapata cha mtema kuni! Sijui watakutambuaje hilo si jukumu langu!!Nashukuru kama tayari umeshajiandikisha. Ulivyojiandikisha ndiyo na sisi hivyo hivyo tumefanya na kusaini kama ulivyofanya wewe, sasa tuna uhakika kumbukumbu zetu ziko vizuri. Nakutakia Kila la heri.
Saaafi sana Dokta umefanya jambo jema, kwa umri wa huyo binti bila shaka naweza kuwa mkwe wakoLeo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.