Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

Mimi ntaongea live na yesu kama Mwakasege ,zumarid 👇👇😅

 
Nimeshangazwa sana....Unapoingiza utani kwenye mambo ya Imani sio Haki kabisa,Kwa Imani inagusa maisha ya watu direct,mambo kama Haya ndio yanazuaga taharuki kwenye jamii
 
Mi nitakuwa muumini wenu wa Kwanza andaeni tu patatu suala la promo hapa ndo nyumbani huko kwenye vibanda umiza na vijiwe vya kahawa habari zitakuwa zenu tu
 
Mimi najitolea kuwa fundi mitambo .(General electronics repair)
 
Kama ni kweli Hongereni sana, naomba mnipatie nafasi kwenye kitengo cha Ubunifu na miujiza hamtojutia.
 
Sikulazimishi kitu.

Wewe mbona unalazimisha kumuabudu mtume wetu Yesu wakati hakuna sehemu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni"?
Niko out of mood...nitakujibu majibu mabaya ... please stop tag me

.
 
Mimi nitakuwa mwizi anayevamia na kupora kapu la sadaka [emoji23][emoji23][emoji23]

Sema sisy Joannah hapa harusi tunayo mama mchungaji
 
Baba mchungaji ana balaa zito sanaa hajui kukataliwa anachotaka ye akuoe tu na kamati yake ameshaipanga [emoji1787] sasa nauliza ndugu wa kike tutaalikwa kweli

Baba mchungaji ana gubu ndugu wa kikeni katunyima mwaliko hata sijapentraaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui km sisi tukipika majungu mke hapati we mwache ajifarague hatujui wazaramo tuna nongwa [emoji23][emoji23]
 
Mkuu mie umenisahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…