Kanisa ukipata location nzuri unapiga hela sana..nna mshkaji mmoja tulikuwaga tunavuta wote bange miaka ya nyuma na kununua wote malaya wa bei chee pale Kimboka Dar enzi hizo akatokea kuaminiwa sana na wale malaya kiasi kwamba akaanza kuwa dalali wao kuwaunganishia wateja wenye hela hasa madingi waoga wa kununua malaya hadharani yeye akawa mtu kati.
Cha ajabu nimepotezana na huyu mwamba miaka kadhaa nakuja kumkuta mkoa flani ana bonge la kanisa anafungisha ndoa ya rafiki yangu ambaye nimesafiri kuhudhuria harusi yake huko mkoani[emoji38][emoji38][emoji38]kifupi huyo nabii anaheshimika sana na ana maisha mazuri, nyumba na usafiri na anapiga maokoto kama kawaida.!
Huwezi kuamini kama ndio yule tuliyekuwa tunavuta naye bange na kununua malaya cheap.
Kanisa linalipa