Kura ya kidemokrasia ni siri ndugu! Kaka yako kapiga NDIYO halafu kakuzuga...! All in all hata za HAPANA zingekuwa 500 ndiyo demokrasia. #Tumwache Mwenyekiti na Rais wa nchi achape kazi.🙏🙏🙏Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Sa100000 ni [emoji117][emoji90]Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Makambare ni [emoji117][emoji90][emoji90] tuNa ndiomaana wakubwa walikasirika sana na kuongea kwa jaziba siku ile, matokeo yaliwawashia taa nyekundu.
Mbona wengi tu walipiga kuea za hapana na hata hao watoto wa vigogo hawakupata kura zilizotangazwa zilikuwa ndogo sana ila kilichotokea ni kuhalalisha kura zilizoharibika na za hapana kuwanusuru.......................uovu ni cartel mbaya sana kwenye hicho kigenge cha kisiasa.Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Kwani hawakuwa na simu za kupiga picha wakatuonyesha ushahidi hapa?Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Alete ushahidi 😂😂Wacha uzushi
Tumeshawabaini.....tunakuja na condom mtueleze vizuri.Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
🤣🤣🤣Hongereni kwa kwa zenu...itabidi mrudie kupiga tena...Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Haya majitu hapo yanafanya tu mazoezi ya 2025Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
🤣🤣🤣CCM wajanja, wameweka kura moja ya Hapana ili kila mmoja aliyepiga kura ya hapana adhani kuwa huyo ni yeye😀
waliwaka yani ilionyesha wazi CCM hali si shwariNa ndiomaana wakubwa walikasirika sana na kuongea kwa jaziba siku ile, matokeo yaliwawashia taa nyekundu.
Angefanya hivyo leo asingekuwa hai kusimulia huo uchafu waoMimi nilidhani kwamba mtaonyeshana kura zenu moments kabla hamjazitumbukiza katika boksi.