Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Kura ya kidemokrasia ni siri ndugu! Kaka yako kapiga NDIYO halafu kakuzuga...! All in all hata za HAPANA zingekuwa 500 ndiyo demokrasia. #Tumwache Mwenyekiti na Rais wa nchi achape kazi.🙏🙏🙏
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Sa100000 ni [emoji117][emoji90]
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Mbona wengi tu walipiga kuea za hapana na hata hao watoto wa vigogo hawakupata kura zilizotangazwa zilikuwa ndogo sana ila kilichotokea ni kuhalalisha kura zilizoharibika na za hapana kuwanusuru.......................uovu ni cartel mbaya sana kwenye hicho kigenge cha kisiasa.

JK YM walikuwa wananafoka na kutishia wanachama wenzao kama akina nani? Je, ndio kundi la ';elite' linaloendesha nchi?
 
Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
Kwani hawakuwa na simu za kupiga picha wakatuonyesha ushahidi hapa?
Usimwamini yeyote aliyeko CCM siku hizi, hata awe rafiki yako.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.

Walidanganya pale. Eti kura moja. CCM ni wezi wa kura.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
🤣🤣🤣Hongereni kwa kwa zenu...itabidi mrudie kupiga tena...
 
Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
Haya majitu hapo yanafanya tu mazoezi ya 2025
 
Kama nyie wenyewe mna ibiana, itakuwaje mnapo kutana na wapinzani? Ndio hapo huwa tuna ona mkitumia dola kuiba mabox. Shame on you Ccm majizi
 
Niliwahi kuandika humu (majuzi kabla ya uchaguzi) "kuwa mnajua wale wanaokwenda kuhesabu kura tayari wana malengo wameshapewa/kupangwa ili ndio yatangazwa"! lakini kuna mambumbumbu yalitukana sana!
 
Kuna vitu haviko sawa nchi hii kutokana na utawala wa ccm kuvikumbatia;
Wizi wa kura ndani chaguzi za ccm
wizi wa kura unaofanywa na ccm dhidi ya vyama vingine kwa kuwatumia watu na taasisi mbalimbali!
wizi wa mitahani katika shule zetu unaofanywa na watu walewale wanaohusika kuiba kura ili ccm ishinde!
wizi wa fedha na mali ya umma unaofanywa na watu walewale walioingia madarakani kwa wizi wa kura!
Tujiulize kama Taifa tunaelekea wapi kwa vitendo hivi! Chukua hatua!
 
Back
Top Bottom