Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Wanaume wanazidi kupungua hizo njaa zako zitakufikisha pabaya.
 
Hawezi vimba kwa hela za kuinamishwa. Sana sana atakuwa na hasira sana, atakuwa anadai hadi 100. Hela kaipata kwa maumivu [emoji28][emoji28]
Ata akiwa bar anatutambia kwakunywa Hennessy watu tujijua tutamdharau
Nakumuona anakunywa banana tu.
 
Mr Chizi Maarifa una lipi la kumuambia mkeo mtarajiwa??. Kuhusiana na madai haya
 

Twenzetu tukapike biscuit kule chini
 
Mshirikiane kumna tu ila chunga sana msishirikiane kumpa Makario huyo mbunge
 
Kwa huu uandishi mwanaume mwenye akili hawezi kukuachia mtoto umlee... Atatoroka naye tu. Maana tayari utakuwa umesham pollute. Ndo maana sometimes mnatulaumu sisi wanaume wapuuzi kuwa tunawatia tu mimba halafu tunalala mbele. Kumbe ni sababu tumeshaona "hapa hamna mke hapa huyu ni hopeless"
 
Hiv hii nchi ukitaka kuisaidia unaanzia wapi wandugu hebu tusaidiane
 
Akishaatanuliwa

Uje hukuu useme pia.

Muosha huoshwa.

ikila vya watuu lazima na wewe utalipwa tuuu.

Sina hakika kama huyo mchumba wako unambebaga mgongoni wakati wotee.

Subiri nyama utakuta chini endelea kunywa mtorii
 
Akishaatanuliwa

Uje hukuu useme pia.

Muosha huoshwa.

ikila vya watuu lazima na wewe utalipwa tuuu.

Sina hakika kama huyo mchumba wako unambebaga mgongoni wakati wotee.

Subiri nyama utakuta chini endelea kunywa mtorii
Hapana simbebi ndo maana nachukua changu mapema. Akiliwa akaliwe kwa faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…