Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #121
Hakuna anayedanga ni kutumia tu fursa vizuri.Kwa hiyo wewe na mchumba mma danga? Wanaume wengine n wa hovyo sana, unafikiri mwish wa hayo mambo ni mzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayedanga ni kutumia tu fursa vizuri.Kwa hiyo wewe na mchumba mma danga? Wanaume wengine n wa hovyo sana, unafikiri mwish wa hayo mambo ni mzuri?
Kabisa bob mijamaa mingi mifala haitumii fursaSafi sana mkuu hyo ni akili kubwa .
Never Trust a womanNliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.
Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.
Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.
Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Ni bora nami nirudishe pesa zangu. Unaweza jifanya eti we mgumu halafu demu wako akawa analiwa hupati kitu. Mi nimewekeza pia kwa huyu demu.
Ni kutumia fursa wewe achen ubwege. Ndo maana mnakufa maskini na kujinyonga watu wenu wakiliwa bure.Hiyo kitendo si sawa kwako na huyo mwanamke mnafanya
marindaTamaa ndogo ndogo kama hizi, adhabu yataenda kupata marinda yako.
threadFikiria huyo mbunge ndio anasoma hapa hii thread anakuwazia nin
Ewaaa"Kudadeki nakupenda wewe na huyoo bwana wako" Ulisikika wimbo mmoja hapo Bongo nchi ya kusadikika, ambayo BODABODA ni Ajira wanaitwa maafisa usafirishaji.
hospital kuchukua vipimo mkuuKaa week kadhaa uende hospital kuchukua vipimo mkuu wabunge hawanaga shoo mbovu
Hawezi kuwa na mama mtoto kama mimi sema anajitahidi kukeep umaarufu kwa kutunga stories. Alinianzishia mpaka uzi so na mimi nimeona kuliko kumkana chizi bora nimsapoti ajisikie furaha. In real world hatujuaniHivi hawa ni wazazi kweli au umeamua kumtania tu?? Ule uzi wao niliishia katikati kuufuatilia sikuumalizaga [emoji23].
JF inavituko sana aise. [emoji23][emoji23]
Sasa unashare na nani wakati unasema ulishaniacha....au mbunge kashakuagizia mabaunsa na mafuta ya vaseline nini baba mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La huyu manzi ndo linayumba. Akigongwa anatangaza JF nzima na kashfa juu...mi huwa simwelewi kabisa. Alishaniponda sana humu. Na kuna jamaa nahisi nashare naye
Amechanganyikiwa maana nyuzi zake ndio anatangaza aliowatumia nauli na aliowagonga. Mkuu naanza kupata mashaka wazee wa Vaseline na parachute weshamtembelea masikini maana amerudi ana hasira kweli.trudie njoo ujitetee hapa mpendwa
Kuna maneno akiandika mwanamke nashindwa cha kujibu kabisa. Ni maneno ambayo for a decent lady haifai hata kuyafikiria. Ni ya aibu. But kwa wewe nakuelewa.Sasa unashare na nani wakati unasema ulishaniacha....au mbunge kashakuagizia mabaunsa na mafuta ya vaseline nini baba mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo home utamkuta nami nitakukuta pia. Karibu sana.Naomba namba ya mkeo nitamjengea ghorofa