Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Huko Hai Kilimanjaro kuna tatizo kubwa
 
Bro kumbuka kuleta mlejesho lazima utombewe uyo dem?
 
Jipige kifua na jiambie “MIMI NI MUWEKEZAJI MZALENDO”

Umeingia ubia na muhimili wa serikali.
 
Kuna siku ataliwa tu, wanaume wana mbinu nyingi sana hapo ndipo utakapo juta
 
Siku utajua na kukumbuka jinsi ulivyomchuna wakati huo akija na jamaa walobeba jelly ya kutosha
 
Mbona ulikataa hamjazaa naye? Usmkane mwana
Ndio maana nimeshangaa leo umenitumia 200,000 bila sababu kumbe umedanga kwa mbunge??? Na unatufanya mimi na mwanao tule hela ya kudanga kweli??
 
Mbona ulikataa hamjazaa naye? Usmkane mwana
Ukichukulia kila kitu serious JF utachanganyikiwa mkuu. Hivi unafikiri kweli ningekuwa nimezaa nae ningeexpose hapa kwamba kanitumia 200,000 ya matumizi??

Ni chizi kama id yake inavyosema so tunaishi nae hivyohivyo
 

Kwahyo wewe na demu wako mnamdangia Mbunge?
 
Nimeishia kucheka tu
 
Kwa hiyo sasa hivi utavumilia ile halufu kali ya kinyesi anapoenda chooni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…