Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,
Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?