Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

Hawezi kuwa na HIV kwasababu anadamu nyingi sana hadi inamzidi. Huyu kinachomsumbua ni stress za kuhisi kurogwa. Ndio maana hata dawa anazopewa hospital hazitumii yeye na mke wake. Wakitumia dawa vizuri watakaa sawa.
Mbona dawa tumemaliza vizuri mkuu labda ni kurudi tena hosptal tu
 
Ewaaaaaaaa kuna kitu hakunambia mapema mm ningejua km ana tatizo la kutoka uchafu nisingeshiriki tendo bila kuenda hosptal kwanza
Kabla ya ndoa hakujadili mustakabali wa kupima afya zenu kwanza?, na ulikuwa unachapa bila ndom?..vijana mnajua kujitoa mhanga aisee.
 
ulivyo MPUMBAVU na akili za ngozi nyeusi wengi wanaamini ni UCHAWI, wanaamini WAMEROGWA hapo nahisi ushaanza kutafta namba za SANGOMA...Acha upuuzi hujarogwa badilisheni lifestyle Linda Afya kabla ya Mali na Afya itakulinda...Pika chakula kisafi ukiwa msafi, Lala pasafi na usile hovyo kama mchwa kula kwa Afya Kenge wewe
 
Mwalimu wa zamu naona saivi zamu yake😂😂
 
Pole sana ,nenda kawaone wataalam wa afya otherwise nenda kiroho zaidi kwa mimi Mkristo ningekuwa kila siku nasoma Zab 51,Zab 35 na 23 kwa siku 40.Utaona matokeo.Pia badilisha your lifestyle, hakikisha mazingira unayoishi ni masafi ili uvutie positive energy. Toa sadaka kwa kuwasaidia wasiojiweza na ndugu wakaribu
 
Pole sana pengine naye hata hakujua, nimeona hii ya kuoa bikra ni nzuri sana, kuna mtu nilioneshwa kalala na mpenzi wa zamani wakati kesho anaingia kanisani kufunga ndoa yaani kama movie ila ni kweli, ninaomba kwako hisiwe hivyo, pambania afya kwanza
 
Pole sana ,nenda kawaone wataalam wa afya otherwise nenda kiroho zaidi kwa mimi Mkristo ningekuwa kila siku nasoma Zab 51,Zab 35 na 23 kwa siku 40.Utaona matokeo.Pia badilisha your lifestyle, hakikisha mazingira unayoishi ni masafi ili uvutie positive energy. Toa sadaka kwa kuwasaidia wasiojiweza na ndugu wakaribu
🙏
 
20240509_105131.jpg
 
Back
Top Bottom