Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,

Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?
Nenden hospital kubwa kwa vipimo vikubwa...mshapeana majanga jaman 😪😪
 
Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,

Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?
Pole sana,
Nakushauri urudi tena hospital hata hivyo fanya kautafiti kadogo kujua ni hospital gani unaeza pata tiba sahihi kutokana na ubora wa huduma kwa maana ya madaktar na vifaa, maana hosp zinatofautiana katika maeneo hayo.

Pole sana mkuu,
Mungu awafanyie wepesi kwa mtihani huo!!
 
Pole sana,
Nakushauri urudi tena hospital ingawa uende unahitajika kautafiti kidogo kuwa ni hospital ngani unaeza pata tiba sahihi kutokana na ubora wa huduma kwa maana ya madaktar na vifaa, maana hosp zinatofautiana katika maeneo hayo.

Pole sana mkuu,
Mungu awafanyie wepesi kwa mtihani huo!!
Inshallah kheri
 
Back
Top Bottom