Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Ok mkuuRudini tena hospitali kwa vipimo zaidi
😂😂😂😂sawa bossulimpenda mwenyew ukamuoa na bado hapo bado mpaka akupe UKIMWI. Tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa matibabu zaidi.
Apo nimezingua nini mkuu?imani za kishirikina zimetokea wapi?nilichouliza kwa kuwa tumeingilia a na yeye yupo kwenye hali iyo mm imeweza kuniathiri ww unaleta mambo mengine waswahili bhanaIla wewe mkuu unazingua sana inaonekana una imani za kishirikina shirikina...Sasa ndo na ww kuumwa vimeingiliana vipi.
Huyo ana chronic fungus tu ama PID...Rudini hospital ikibidi specialized one.
Kwaiyo unataka kusema hayo magonjwa yamewapata sababu ya kufunga ndoa yani kwamba hiyo ndio sababu mzungu?Apo nimezingua nini mkuu?imani za kishirikina zimetokea wapi?nilichouliza kwa kuwa tumeingilia a na yeye yupo kwenye hali iyo mm imeweza kuniathiri ww unaleta mambo mengine waswahili bhana
Nakazia mno hapo kwenye HIVNdoa imehusikaje kwenye hii mada ok ni hivi rudi tena hospital wewe na mkeo mkafanye vipimo upya bila kusahau mpime H.I.V
Union yenu iko under attack. Zameni kwenye maombi mazito, pia punguzeni access kwa watu wa nje.Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,
Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?
Ewaaaaaaaa kuna kitu hakunambia mapema mm ningejua km ana tatizo la kutoka uchafu nisingeshiriki tendo bila kuenda hosptal kwanzaTatizo kabla ya kuoana hukumfahamu vizuri au Kuna vitu hamkuambiana barabara..