Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
Hawezi kuwa na HIV kwasababu anadamu nyingi sana hadi inamzidi. Huyu kinachomsumbua ni stress za kuhisi kurogwa. Ndio maana hata dawa anazopewa hospital hazitumii yeye na mke wake. Wakitumia dawa vizuri watakaa sawa.Nakazia mno hapo kwenye HIV
Wewe ndio hukumdadisi vizuri?Ewaaaaaaaa kuna kitu hakunambia mapema mm ningejua km ana tatizo la kutoka uchafu nisingeshiriki tendo bila kuenda hosptal kwanza
Mbona dawa tumemaliza vizuri mkuu labda ni kurudi tena hosptal tuHawezi kuwa na HIV kwasababu anadamu nyingi sana hadi inamzidi. Huyu kinachomsumbua ni stress za kuhisi kurogwa. Ndio maana hata dawa anazopewa hospital hazitumii yeye na mke wake. Wakitumia dawa vizuri watakaa sawa.
Sawa rudini hospital sasaMbona dawa tumemaliza vizuri mkuu labda ni kurudi tena hosptal tu
Kabla ya ndoa hakujadili mustakabali wa kupima afya zenu kwanza?, na ulikuwa unachapa bila ndom?..vijana mnajua kujitoa mhanga aisee.Ewaaaaaaaa kuna kitu hakunambia mapema mm ningejua km ana tatizo la kutoka uchafu nisingeshiriki tendo bila kuenda hosptal kwanza
OkSawa rudini hospital sasa
Ila wewe mkuu unazingua sana inaonekana una imani za kishirikina shirikina...Sasa ndo na ww kuumwa vimeingiliana vipi.
Huyo ana chronic fungus tu ama PID...Rudini hospital ikibidi specnAme
Hivi mkeo kabisa ukachape na condomKabla ya ndoa hakujadili mustakabali wa kupima afya zenu kwanza?, na ulikuwa unachapa bila ndom?..vijana mnajua kujitoa mhanga aisee.
Unajua kuna watu wengine wajinga wewe ungemuacha tu na ujinga wakeKuna mtu amefuta comment yake anasema eti umeoa kiwanda cha U.T.I mimi nikamwambia siyo vizuri kumwambia mwenzake hivyo
Mwalimu wa zamu naona saivi zamu yake😂😂ulivyo MPUMBAVU na akili za ngozi nyeusi wengi wanaamini ni UCHAWI, wanaamini WAMEROGWA hapo nahisi ushaanza kutafta namba za SANGOMA...Acha upuuzi hujarogwa badilisheni lifestyle Linda Afya kabla ya Mali na Afya itakulinda...Pika chakula kisafi ukiwa msafi, Lala pasafi na usile hovyo kama mchwa kula kwa Afya Kenge wewe
🙏Pole sana ,nenda kawaone wataalam wa afya otherwise nenda kiroho zaidi kwa mimi Mkristo ningekuwa kila siku nasoma Zab 51,Zab 35 na 23 kwa siku 40.Utaona matokeo.Pia badilisha your lifestyle, hakikisha mazingira unayoishi ni masafi ili uvutie positive energy. Toa sadaka kwa kuwasaidia wasiojiweza na ndugu wakaribu
Sawa mkuuPole sana pengine naye hata hakujua, nimeona hii ya kuoa bikra ni nzuri sana, kuna mtu nilioneshwa kalala na mpenzi wa zamani wakati kesho anaingia kanisani kufunga ndoa yaani kama movie ila ni kweli, ninaomba kwako hisiwe hivyo, pambania afya kwanza
Nazungumzia kabla ya ndoa mlipima?, mbona hujibu hili swali kijana?.Hivi mkeo kabisa ukachape na condom
Tumepima ndio sasa kuna shekh atakuozesha bila kuonesha kadi ya vipimoNazungumzia kabla ya ndoa mlipima?, mbona hujibu hili swali kijana?.
pia, wasiwasikilize wa jamiiforum watapotea👿Union yenu iko under attack. Zameni kwenye maombi mazito, pia punguzeni access kwa watu wa nje.