Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

Ewaaaaaaaa kuna kitu hakunambia mapema mm ningejua km ana tatizo la kutoka uchafu nisingeshiriki tendo bila kuenda hosptal kwanza
Mlifunga ndoa ya mkeka lazima

Ndoa ya kanisani hakuna huu ujinga wa kuoana bila Kupima
 
Kuumwa huwa kuna kuja na saikolojia potofu.
Vumilia mtibu mkeo na jitibu vile vile. Kiukweli mke wako katoka huku nawe umetoka kule.
Miili yetu imesoea vidudu vya aina tofauti, sasa mko pamoja.
Mkapimwe upya hospitali ili igundulike tatizo na mpate dawa pamoja.
Maisha ni matamu na mkeo, enjoy!
 

Mke wako anajua shida zake alingoja wewe ulete hizo Imani achomekee, nendeni hospital msimuwazw Bibi kurusumu anawaloga, maana hausiki!
 
Hospitali mliambiwa shida nini? Na je hizo dawa mlizipewa ni za kutibu nini..?
 
Combination zimegoma kubalance usikute ukapoteza uhai kabisa
Yes hii kitu ipo real Mimi ni shuhuda wa hilo na hapo unaweza kukuta jamaa hasimishi tena mbele mkewe yaani mood ya mapenzi imekata kabisa.
Inahitaji moyo wa subira sana
 
Mna magonjwa ya zinaa, na kama mmoja wenu bado anaendelea kutembea na michepuko ya zamani hamtapona hadi muwatibu na hao wenza wa zamani.
 
Kuna ushauri fulani unataka ili kuhalalisha maamuzi yako ila hatukupi mpende mkeo ishi naye kwa tabu na raha
 
Yes hii kitu ipo real Mimi ni shuhuda wa hilo na hapo unaweza kukuta jamaa hasimishi tena mbele mkewe yaani mood ya mapenzi imekata kabisa.
Inahitaji moyo wa subira sana
Ndoa na sex ni maswala ya spiritual ila watu wanachukulia powa
 
Kwamba ajabu ni nini hapo?
 
Hiki unachokileta hapa ulitakiwa mkapime afya zenu kabla ya kuoana na mjuane afya za familia zenu, ona sasa huenda mmekwisha ingiza mapooza kwenye familia yenu.
 
Nakushauri wewe na mkeo mkamuone gynacologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…