Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,418
Nenden hospital kubwa kwa vipimo vikubwa...mshapeana majanga jaman 😪😪Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,
Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?
Anataka tumwambie ameonewa wivu na wachawi baada ya kufunga ndoa 🤣🤣Ndoa imehusikaje kwenye hii mada ok ni hivi rudi tena hospital wewe na mkeo mkafanye vipimo upya bila kusahau mpime H.I.V
Pole sana,Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa,
Mke wangu alikuja kunambia kuwa kuna hali inakuwa inamkuta kutoka na uchafu mweupe sehemu za siri kipindi hicho mimi na yeye tunafanya tendo la ndoa iyo hali inamkuta na hakuwahi kunambia hadi alipoona naumwa ,tukaenda hosptali na tukapata dawa na sindano ila bdo mimi sijawa sawa hadi leo je iyo hali yake inawezekana imechangia na hivi ninavyoumwa?
Inshallah kheriPole sana,
Nakushauri urudi tena hospital ingawa uende unahitajika kautafiti kidogo kuwa ni hospital ngani unaeza pata tiba sahihi kutokana na ubora wa huduma kwa maana ya madaktar na vifaa, maana hosp zinatofautiana katika maeneo hayo.
Pole sana mkuu,
Mungu awafanyie wepesi kwa mtihani huo!!
Uyu nae *****Anataka tumwambie ameonewa wivu na wachawi baada ya kufunga ndoa 🤣🤣