Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

Sidhani hii kauli ni nzuri kuitumia
Hakuna asiyependa kuwa mzazi. Na kila mtu ana uhuru wa kuwa mzazi...

Nobody wanna do bad things but they just do it for lack of love, they come from a place of insufficiency
Kupenda kuwa mzazi haimaanishi unaweza kuwa mzazi anayefaa, tuendako mbele AI itakuwa msaada mzuri sana kufanyia watu tathmini kama wanastahili kuzaa au kuwa wazazi wa watoto.
 
Nimekuelewa
Na ndio maana Sija negate kitu kikubwa ambacho mzee kanipatia.. And that's how to survive... (yeye mwenyewe huwa a nashangaa how did I make ends meet niliposepa) he didn't offer a cent to me japo kukosa vi laki laki vya kuombwa hata na ndugu hakosi.. Nashukuru sana kwa hilo.. Imenifanya kuwa bold zaidi.

Kikubwa kama ulivyosema niendelee kuongeza light kwenye namna nafeel kuhusu yeye
 
Kupenda kuwa mzazi haimaanishi unaweza kuwa mzazi anayefaa, tuendako mbele AI itakuwa msaada mzuri sana kufanyia watu tathmini kama wanastahili kuzaa au kuwa wazazi wa watoto.
Uko sahihi... Hata hivyo malezi huwezi Kuya reduce on a computer chip mkuu... Kuna facet nyingi sana za kurithi, DNA... Yaani malezi ni a very complex thing...

AI mimi naona ndo distraction mbaya sana kuharibu malezi, huwezi kureduce complexity ya traits za mtoto on a replicated computer generated instruction
 
Fact
 
Yeye Anataka hivyo, mimi nirudi but deep inside naona nothing would have changed..

Na mimi nataka tuwe wamoja, ila naona maybe it is not the right moment kwa sasa.

But eventually we have to make things work.. Lazima nifanye kila kitu mambo yake sawa

Thanks for your advice🙏
 
✍️✍️
 
✍️✍️
 
✍️✍️
 
Jaribu kuzingatia uandishi wako, usichanganye sana lugha.

Kuna matatizo hayarekebishwi kwa lawama, mfano ni hili hapa. Lawama haitokuponya, lawama haitorudisha muda nyuma.

Chamsingi umeshalijua tatizo, wajibika kama mtu mzima.

Usimuwekee kinyongo huyo mzee. Chuki huumiza pande zote mbili.
 
Mom hakutudekeza japo alikuwa mpole..

Ulicho ongea hapa ni positive impact za kuwa strict.... Which is good nimekuelewa vizuri mkuu.

That's my plan too..
Keep helping your daughter lakini usimfanye awe uncomfortable sana, ikamharibu..

Nashukuru mkuu🙏
 
Bwana Mdogo;
Wala usifikiri kwamba uko ulivo kwa sababu ya namna mzee wako alivyokutreat,Uko ulivyo kwa sababu wewe ni kama mzee wako alivyo.

Pili kama hakukua,hakukunyima chakula,hakukunyima mahitaji ya muhimu basi wala usithubutu kumsingizia iwapo wewe una changamoto zako.Mzazi humlea mtoto wake kwa kadiri anavyoweza yeye na anavyelewa malezi.

Mwisho Huu ni wakati muhimu sana wa wewe kukaa karibu na mzee wako kama watu wazima,sio kwa ajili yake bali ni kwa ajili yako.Hawa waze wetu pamoja na udhaifu wako huwa wana perspective.Kuna makosa walifanya na hawatataka wewe kama mtoto wao uyarudie/uyafanye?Kuna historia za familia,ushauri wa kiutu uzima,Urafiki n.k.

Kama anakutafuta basi ni wakati wa wewe kuwa naye karibu usijesema hukuambiwa.

CHILDHOOD TRAUMA zipo na kila mtu anazo.Hata kudekezwa na kupendwa sana huwa kunafanya watu wapate Trauma za aina yake kama vile kuwa narcicists.

Mpigie Mzee simu ukamsalimie acha ukauzu kama wa mzee wako umeshakuwa sasa its time to be your own man.Do not live in the Past.
 
Usielewane na mzazi?,kivipi?
Changamoto za maisha ni moja ya hatua ya ukuwaji,japo si wote watateseka kwenye hii dunia….

Mzazi naye ni mwanadam,niliwahi kumissunderstand na mzee lakini dakika za mwisho win is win.

Ok,unapojua kwanini upo duniani,unaweza kujichagulia maisha yako na huwezi pata kibaya chochote.

KAMA UPO UWEZEKANO WA WEWE NA MZEE KUKAA NA KUJADILI,(fanya hivyo)
 
Nimesoma tjread nzima sijaona kosa la mshua.
 
Pole mkuu kwa uliyopitia na hongera kwa ujasiri wa kuongea. Your feelings are valid na wala usiruhusu mtu yoyote akushawishi uone kwamba hujaumia wala baba yako hakukosea, childhood trauma is real na hakuna trauma inayoweza kulinganishwa na hiyo hali endapo ikimpata mtu.
Kama una pesa, nenda kwa mtaalamu wa afya ya akili, kama private ni gharama nenda serikalini.
Kama uliwahi kuwa suicidal huko nyuma na hiyo hali haikupatiwa matibabu ,kuna uwezekano mkubwa hiyo hali ya suicidal ikarudi baadae. Nenda kapone na hakikisha umepona.
Pole mkuu,pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…