DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya
Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid.
Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi so nilimwambia aende kwa Bibi yangu amwambie Order everything bill on me.
Kiufupi nilimtumia Jamaa yangu 60k na kila kitu kikapatikana bila tatizo.
Swali la kujiuliza Ni hivi
Huyu Bibi yangu Yupo na watoto 09 then wote wapo na Maisha yao so Inakuaje wanashindwa mjali Mama yao Mzazi aliyewalea hadi kufikia hapo kwa Jasho na Damu .
Dunia imebadilika sana Mimi siwezi Kula au kusherekea siku muhimu Kama Eid bila Kuhakikisha Baba yangu Yupo vipi au Mama yangu .
Mimi Mama yangu na Baba wote niliwatumia mkono wa Eid tena mzee wangu nilimkaangia kuku mzima nikampelekea kwake Temeke na Bi mkubwa nilimpa kitu Kama 20k
Watu Mbadilike watoto 09 nyote mnakula Eid na mnamsahau Mama yenu????😰