Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

Wahaya hawatoi swaga za namna hiyo utakuwa umechanganya na kabila Fulani maana kiswangishi cha watoto wa kike form two.
 
Maisha nayo yamekuwa magumu, hivyo tuliwalaumu sana watoto.

Ifike mahali wazazi wakizaa watoto wasijiwekee ni lazima kusaidiwa.

Watoto pia wajue kuwa kuna baraka nyingi ukiwasaidia wazazi.
 
Maisha nayo yamekuwa magumu, hivyo tuliwalaumu sana watoto.

Ifike mahali wazazi wakizaa watoto wasijiwekee ni lazima kusaidiwa.

Watoto pia wajue kuwa kuna baraka nyingi ukiwasaidia wazazi.
Most of them wapo vizuri hata Mimi hapa dsm naendaga wasalimia so ni kukosa Upendo kwa wazazi wao hata Babu yetu Mimi ndo nilimuuguza hosptali nyingi ila nilikuwa naona wao wanajifanya wapo busy na Mambo yao
 
Una miaka mingapi? Ili tukupe nondo zinazoendana na umri.
 
Maisha nayo yamekuwa magumu, hivyo tuliwalaumu sana watoto.

Ifike mahali wazazi wakizaa watoto wasijiwekee ni lazima kusaidiwa.

Watoto pia wajue kuwa kuna baraka nyingi ukiwasaidia wazazi.
Ukisema haya Tanzania utaonekana huna adabu ila ndo ukweli
 
Hivi bibi yake si mzazi wa mzazi wake?
Huu ujumbe mahala pake ni kwa aliowapelekea kule TMK
 
Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya

Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid.

Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi so nilimwambia aende kwa Bibi yangu amwambie Order everything bill on me.
Kiufupi nilimtumia Jamaa yangu 60k na kila kitu kikapatikana bila tatizo.


Swali la kujiuliza Ni hivi
Huyu Bibi yangu Yupo na watoto 09 then wote wapo na Maisha yao so Inakuaje wanashindwa mjali Mama yao Mzazi aliyewalea hadi kufikia hapo kwa Jasho na Damu .


Dunia imebadilika sana Mimi siwezi Kula au kusherekea siku muhimu Kama Eid bila Kuhakikisha Baba yangu Yupo vipi au Mama yangu .

Mimi Mama yangu na Baba wote niliwatumia mkono wa Eid tena mzee wangu nilimkaangia kuku mzima nikampelekea kwake Temeke na Bi mkubwa nilimpa kitu Kama 20k

Watu Mbadilike watoto 09 nyote mnakula Eid na mnamsahau Mama yenu????😰
Unajua mwamba wewe ni mpumbavu! Hivi wewe si mjukuu wa hicho kibibi? Huoni kama ume take cover kwa niaba ya babako au mamako? Kwa hiyo mkuu usijitoe kwenye orodha ya watoto wa hicho kibibi!
 
Mhaya usie na pesa umebakiza viingereza uchwara
Yaani Wahaya shemeji zangu lakini wana shida sana! Akiwa kajambanani utasikia anavyokutishia na Kiingereza kisichokuwa na kichwa wa miguu! Lakini matajiri kama ma Rugemalira yanapiga Kihaya tu hayana shida!
 
Hata wewe huna tofauti na hao watoto wa bibi yako tisa akiwemo mmoja wa wazazi wako ambae ni mtoto wa huyo bibi.
Jukumu la kumuangalia bibi yako ni lako vilevile, kama unacho hukupaswa kutumiwa meseji uombwe. Ilipaswa utume wewe mwenyewe. Bila ya huyo bibi wewe usingekuwepo leo.

Timizia wewe jukumu lako la kumuangalia bibi yako bila kujali kama watoto wake wanamuangalia au laa. Na siku nyingine usitangaze ulichomsaidia mwingine maana hapo inakuwa si msaada bali masimango.
 
Halafu wewe si umesoma na hela nyingine za bibi alichangia masomo yako.

Hiyo elfu 60 tu ndo inakutoa roho na moyo wewe mjukuu hivi ukoje
 
Hongera kwa kumjali bibi, ila wewe inavyoonekana Ukimjengea nyumba utaita waandishi😃
 
Back
Top Bottom