The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Subscribed
Ngoja Chelsea vs Liverpool iishe hapa kwanza
Ngoja Chelsea vs Liverpool iishe hapa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama litahira, wenye akili wanajenga hoja wewe unaleta uchoko wako hapa, muda wote unawaza kugeuzwa tu kweli manii mbayaSasa wewe endelea kutaka vya wanaume vya Bure Bure ndo ukubali na kupakuliwa, usipende kitonga mtoto wa kike jitume shauri zako watakukula pande zote ka samaki.
Binafsi nina mtazamo tofauti juu ya hao watu.Sahihi kabisa babu, ila kuna wale wanaume pia wanaojijua hawana uwezo wa kuhudumia familia ila nao wanataka waoe, na wanalalamika kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda pesa
Zipi hizo?Nao Si Wana 50 zao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi huwa sijibu ad hominem attacks, ukiwa na hoja wasilisha tujadili, kama huna basi nafikiri umekosea njia
Shauri zako mi nshakuambia usije sema Huku ambiwa wee endelea kupenda vitonga tuuuKama litahira, wenye akili wanajenga hoja wewe unaleta uchoko wako hapa, muda wote unawaza kugeuzwa tu kweli manii mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kumezaaaKwa hiyo Mwanaume ni kiumbe dhaifu kisicho na nguvu hadi Mungu akaamua kumletea msaidizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama cha shangazi yako wa kisiju, mjusi weee
Nao wawe na haki ya kugongwa vizuri kama mademuZipi hizo?
Wee nae unajadili hii mada na akati uwezo wako mdogo, si utulie tyuuh kuepusha aibu isiyo ya lazima.Nyie ndo mnaopendaga mserereko/kitonga hamtakagi kujituma, Dunia ya Sasa ukipenda mserereko au kitonga utaishia kupakuliwa kwenye sahani, utafirwa wewe shauri zako watakuingilia njia zote marinda yatatuliwe uanze kujinyea ovyo na ndo skuiz wanavofanyiwa wanawake kama wewe wapenda vitonga.
Dada pambana sasa. Unataka mfumo dume uishe then unazungumzia 50/50. Huwezi kukomesha mfumo dume kwa kutaka favor. Hamkatazwi kugombea. GombeeniNdio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki
Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi na mfumo dume na haki sawa ishike hatamu, kwa sababu wanaume hawataki tena majukumu hivyo hata hayo mamlaka hayawafai, wanaume wengi hawataki haki sawa ila wanataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi ya mwanaume
MImi naona kusiwe tena na mgawanyo wa majukumu yani hata kazi za nyumbani zifanywe na wote kama ambavyo kutafuta pesa limekuwa ni jukumu la wote, majukumu ya mwanamke yabaki yale ya asili na ya kimaumbile tu ambayo ni kubeba ujauzito, kuzaa na kunyonyesha, hayo tu ndio ambayo mwanaume hawezi kuyafanya ila majukumu mengine yote ya nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto tangu wakiwa wachanga mfano kuwasafisha, kuwauguza wakiumwa, nk yafanywe na wote kwa usawa kabisa
Na vile vile kwa mfano mume akiweka laki mezani na mke naye aweke laki mezani mahitaji yote ya nyumbani wanunue kwa usawa bills zote walipe kwa usawa, na watoto wao wawahudumie kwa usawa ikiwemo kuwalipia ada na mahitaji yao mengine yote kwa usawa, hiyo ndio maana halisi ya 50 50 siyo mmoja anamtegea mwenzie eti mtu anataka pesa mtafute wote na bills mlipe wote, ila kazi za nyumbani na kulea watoto afanye mmoja na bado huyo mmoja amtii mwenzie na amlee kama anavyowalea watoto wake, what kind of cockamamie logic is this
Na jambo jingine naona pia tuachane na suala la mwanaume kumtawala mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na habari za kichwa cha familia, yani hakuna tena kusema kwamba mwanamke anatakiwa amtii mumewe kila mtu awe na maamuzi juu ya maisha yake mwenyewe, kusiwe na wa kumuongoza mwenzake na pia kusiwe na habari za kuoa wala kuolewa tena bali iwe ni kuoana
Mnawalaumu wanawake kuwa wanadai haki sawa halafu hawataki majukumu lakini mnasahau kwamba sababu ya wao kukataa hayo majukumu ni kwa sababu mnataka wafanye yale ya kwenu tu, ila ya kwao bado mmewaachia wenyewe hamtaki kuyafanya yani huwezi kumuambia mwanamke ajitafutie pesa zake na akusaidie majukumu, halafu hapo hapo bado unataka huyo mwanamke akufanyie majukumu ya nyumbani na bado akupe heshima na utii
Kwanza hapo huyo mke anakuwa siyo msaidizi tena bali ni kama business partner tu hivyo ondoa kichwani suala la kumlazimisha akutii, hivi mnadhani mwanamke aliambiwa amtii mwanaume kwa misingi gani kama siyo kuhudumiwa maana huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, hakuna binadamu mwenye akili timamu anayefurahia kutawaliwa na binadamu mwenzie asiyewajibika kwa lolote juu yake na kiuhalisia ukitoa huduma zinazohusisha pesa hakuna wajibu mwingine mwanaume alionao juu ya mwanamke
Kama ikiwa mtoto anamtii mzazi wake kwa sababu amemzaa na amemlea, watu wa dini wanaitii miungu yao kwa sababu wanaamini imewaumba na inawapa uhai, je mwanamke anapaswa amtii mumewe kwa sababu gani, tena hata mtoto mwenyewe akishatoka kwao akaanza kujitegemea kinachobaki kwa mzazi wake ni ile heshima tu kuwa amemzaa, lakini huyo mzazi anakuwa hana mamlaka tena ya kumpangia mtoto maisha yake mfano afanye kazi gani au arudi nyumbani muda gani kwa sababu hamhudumii tena
Sasa inashangaza pale mwanaume anapotaka mkewe atafute pesa wasaidiane maisha kwa kisingizio kwamba mke naye ana mikono miwili na miguu miwili, ila huyo huyo mwanaume haoni ajabu kumtawala huyo mke mwenye mikono miwili na miguu miwili kama yeye, yani imefikia hatua wanaume wanaona uchungu kugawana mali na wake zao na wengine ndio kabisa hawataki kuoa kwa kisingizio kwamba eti wakishafanikiwa wake zao watadai talaka ili wagawane mali
Yani hawaconsider tena yale majukumu yote ambayo wake zao wanawafanyia pamoja na utii ambao wake zao wanawapa, siku hizi wanadai kwamba kila mtu ajitafutie pesa zake na ikitokea wameachana kila mtu aondoke na chake, lakini cha kushangaza kwenye majukumu mengine hawasemi kila mtu afanye kwa usawa na kwenye suala la mamlaka hawasemi kila mtu ajitawale mwenyewe
Wale waumini wa ukristo hasa wanaume kama mmeamua kufuata maandiko basi fuateni yote, na kama mmeamua kuyapuuzia basi yapuuzieni yote msichague yale yanayowanufaisha ninyi tu halafu mengine mnajifanya hamyaoni, kwa sababu maandiko yanasema mume ndio atakula kwa jasho na si mke, halafu mbele ndio yanaendelea kwamba mwanaume atamtawala mwanamke, yule mke mnayemuota wa Mithali 31 yalikuwa mawazo binafsi ya mfalme Suleiman na si maagizo ya muumba
Hivo basi ifike pahala wanaume mchague moja kati ya mwanamke mfanyakazi/mfanyabiashara au mama wa nyumbani, na aina yoyote utakayochagua hapo lazima ukubaliane na sifa zinazoambatana na aina hiyo ya mwanamke siyo unachagua mfanyakazi/mfanyabiashara mnasaidiana majukumu, halafu hapo hapo unataka awe kama mama wa nyumbani au unachagua mama wa nyumbani halafu hutaki kumhudumia unaanza kumuona golikipa
Mbona haina uhusiano na hii mada,Nao wawe na haki ya kugongwa vizuri kama mademu
Mada Si 50/50Mbona haina uhusiano na hii mada,
Nimekuchoma penyewe, Sasa endekeza vitonga, usijishughulishe, utaendelea kupakuliwa mpaka unazeekaWee nae unajadili hii mada na akati uwezo wako mdogo, si utulie tyuuh kuepusha aibu isiyo ya lazima.
Wapo wanaume ila ni 2/10... ila kwa wanawake ni 9/10 ....na waambia wanawake mjue uongozi ni akili hivyo msishabikie jinsia kwenye mambo ya uongozi maana madhara yake yanawapata nyinyi zaidi tofauti na mnavyo jidanganya kwa hizo akili zenu za kuvukia barabara na kukatikia mashine kitandani mtajiangamiza wenyewe kama ilivyo semwa mwanamke mpumbumbavu uvunja nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe ....mpumbavu ni mtu mwenye akili finyuBado hujajibu swali langu je kwa wanaume hakuna ambao wanaachiwa mali na wazazi au ndugu zao na wanashindwa kuziendeleza hadi wanafirisika, hii nchi ina miaka zaidi ya 60 tangu imepata uhuru na imekuwa ikiongozwa na wanaume je wamefanya nini la maana ikiwa hadi leo mambo muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi na teknolojia bado ni tatizo, na mbona umetolea mfano wa Tanzania tu je hakuna nchi ambazo zimeongozwa na wanawake na zinafanya vizuri au hata tukija kwenye kampuni je hakuna ambazo zimeongozwa na wanaume zikafanya vibaya na je hakuna ambazo zimeongozwa na wanawake zikafanya vizuri
Unabishana na Mungu?
Acheni kukurupuka hebu eleweni kwanza mada, kwa nyie ambao mnahudumia wake zenu endeleeni na mfumo dume, mimi nazungumzia wanaume ambao wanataka kusaidiana majukumuMtoa mada Kama vile keshapigwa na kitu kizito na marioo wa mjini[emoji4]
Haya unaona sasa hili nalo ni tatizo jingine, mtu ana michepuko halafu hataki kuombwa hela, mwanamke gani atakubali umtumie bure na anajua kabisa hutamuoaBinafsi nina mtazamo tofauti juu ya hao watu.
Ukiona Mwanaume ameoa na analalamika Wanawake wanapenda hela ujue hazungumzii Mke wake, huyo anakuwa amechoka vibomu vya michepuko yake.
Wazee huwa tunasema "Mgomba hauzidiwi na uzito wa Mkungu wake"
Mke mmoja huwezi kushindwa kumuhudumia unless uwe nao 2,3 na kuendelea kama michepuko