Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #201
Mkuu kwa wanaume wanaohudumia wake zao waendelee tu na mfumo dume, mimi nazungumzia wale wanaotaka wake zao wawasaidie majukumu, wanawake hawawezi kukubali kuwasaidia majukumu yenu halafu bado wawe submissiveDada pambana sasa. Unataka mfumo dume uishe then unazungumzia 50/50. Huwezi kukomesha mfumo dume kwa kutaka favor. Hamkatazwi kugombea. Gombeeni