Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Sasa wewe endelea kutaka vya wanaume vya Bure Bure ndo ukubali na kupakuliwa, usipende kitonga mtoto wa kike jitume shauri zako watakukula pande zote ka samaki.
Kama litahira, wenye akili wanajenga hoja wewe unaleta uchoko wako hapa, muda wote unawaza kugeuzwa tu kweli manii mbaya
 
Sahihi kabisa babu, ila kuna wale wanaume pia wanaojijua hawana uwezo wa kuhudumia familia ila nao wanataka waoe, na wanalalamika kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda pesa
Binafsi nina mtazamo tofauti juu ya hao watu.

Ukiona Mwanaume ameoa na analalamika Wanawake wanapenda hela ujue hazungumzii Mke wake, huyo anakuwa amechoka vibomu vya michepuko yake.

Wazee huwa tunasema "Mgomba hauzidiwi na uzito wa Mkungu wake"

Mke mmoja huwezi kushindwa kumuhudumia unless uwe nao 2,3 na kuendelea kama michepuko
 
Wee nae unajadili hii mada na akati uwezo wako mdogo, si utulie tyuuh kuepusha aibu isiyo ya lazima.
 
Dada pambana sasa. Unataka mfumo dume uishe then unazungumzia 50/50. Huwezi kukomesha mfumo dume kwa kutaka favor. Hamkatazwi kugombea. Gombeeni
 
Wapo wanaume ila ni 2/10... ila kwa wanawake ni 9/10 ....na waambia wanawake mjue uongozi ni akili hivyo msishabikie jinsia kwenye mambo ya uongozi maana madhara yake yanawapata nyinyi zaidi tofauti na mnavyo jidanganya kwa hizo akili zenu za kuvukia barabara na kukatikia mashine kitandani mtajiangamiza wenyewe kama ilivyo semwa mwanamke mpumbumbavu uvunja nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe ....mpumbavu ni mtu mwenye akili finyu
 
Kama wanawake wanaweza kutukunja na kutugeuzageuza wanaume kama tunavyo wageuza sawa
Kama wanatafuta pesa kama ninyi na wanahudumia familia kama ninyi tena na wengine hadi wanawazidi kabisa vipato hiyo inawezekana vizuri kabisa
 
Haya unaona sasa hili nalo ni tatizo jingine, mtu ana michepuko halafu hataki kuombwa hela, mwanamke gani atakubali umtumie bure na anajua kabisa hutamuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…