Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Dada pambana sasa. Unataka mfumo dume uishe then unazungumzia 50/50. Huwezi kukomesha mfumo dume kwa kutaka favor. Hamkatazwi kugombea. Gombeeni
Mkuu kwa wanaume wanaohudumia wake zao waendelee tu na mfumo dume, mimi nazungumzia wale wanaotaka wake zao wawasaidie majukumu, wanawake hawawezi kukubali kuwasaidia majukumu yenu halafu bado wawe submissive
 
Hizo takwimu wewe umezitoa wapi au umeamua kujiandikia tu mradi utetee uongo wako, nilikuuliza hivi kwahiyo other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mtaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani, acheni kulazimisha ionekane kama wanaume wote mna akili ili tu wanawake wakubali kuwa watumwa wenu wakati hali halisi tunaiona kuna wanaume wengi tu ni wapumbavu na wana uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja
 
Nimekuchoma penyewe, Sasa endekeza vitonga, usijishughulishe, utaendelea kupakuliwa mpaka unazeeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hujaelewa mada inasemaje au inataka nn, umekurupukaaa tyuuh.
 
Uislamu haujasema hivyo kwa vile ambavyo wewe umetasfiri kwa mtazamo wako wa 50/50.

Hayo majukumu ya shughuli za nyumbani kwa mwanamke si lazima kwake ila ni kufanya Ihsaani(wema) kwa mumewe katika hali ya kumsaidia majukumu mumewe.

Na uislamu haupingani na kusaidiana baadhi ya majukumu kwa mke na mume ila haukubaliani na hizo 50/50.

Kama alivyosema kipenzi cha waumini wa kiislamu kwamba mke amtii mumewe na ni amri ilotiliwa nguvu na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kwa kuwa amesema:

((Ω„ΩŽΩˆΩ’ كُنْΨͺُ ؒمِراً Ψ£ΩŽΨ­ΩŽΨ―Ψ§Ω‹ Ψ£ΩŽΩ†Ω’ ΩŠΩŽΨ³Ω’Ψ¬ΩΨ―ΩŽ Ω„Ψ£ΩΨ­ΩŽΨ―Ω Ω„Ψ£ΩŽΩ…ΩŽΨ±Ω’Ψͺُ Ψ§Ω„Ω’Ω…ΩŽΨ±Ω’Ψ£ΩŽΨ©ΩŽ Ψ£ΩŽΩ†Ω’ ΨͺΩŽΨ³Ω’Ψ¬ΩΨ―ΩŽ Ω„ΩΨ²ΩŽΩˆΩ’Ψ¬ΩΩ‡ΩŽΨ§ مِنْ ΨΉΩΨΈΩŽΩ…Ω Ψ­ΩŽΩ‚Ω‘ΩŽΩ‡Ω ΨΉΩŽΩ„ΩŽΩŠΩ’Ω‡Ψ§ΩŽ))

((Ningeliweza kumuamrisha mtu amsujudie binaadamu mwenzake, ningeliamrisha mwanamke amsujudie mume wake kwa jinsi haki ya mume ilivyo tukufu kwa mke wake)) Tuhfat Al-Ahwadhi 4.323 kutoka Tafsiyr ya Ibn Kathiyr.

NB: Haki ya kuhudumia familia kwenye mahitaji muhimu (malazi, mavazi na chakula) ipo kwa mume ikiwa mke atafanya hivyo basi hiyo ni katika hali ya kumsaidia mumewe na siyo jambo la lazima kwake.

Huduma za lazima ni kwa kumhudumia mke tu na tuelewane hakuna 50/50 na haitakaa iwepo.

Si kila aliye mwanamke ni mke ila kila aliye mke ni mwanamke na huduma zinaenda kwa mke na siyo mwanamke.
 
Una hoja usikilizwe tafadhali....! Mpaka kufikia huku wanaume ndo tumefeli pakubwa...! Wakulaumiwa ni sisi wanaume na si vinginevyo
 
Sahihi kabisaa wanaume ndo tatizo kubwa kwenye hili. Wanawake hawanaga noma kabisa huwa wanatembea na beats tu
 
Nimezitoa kila sehemu zipo hizo takwimu hata mitaani zipo duniani zipo kila kwenye dini zipo
 
Haya unaona sasa hili nalo ni tatizo jingine, mtu ana michepuko halafu hataki kuombwa hela, mwanamke gani atakubali umtumie bure na anajua kabisa hutamuoa
Ndiyo maana huwa nashauri timu Kataa Ndoa, Bora waoe ili kupunguza expenses za kuhonga Mademu.

Tulipofikia huwezi kudate na Mwanamke bila kumgharamia, sasa hao timu Kataa Ndoa unakuta ana demu Kimara,Gongolamboto,Mbagala,Mwanamanyara, Tegeta n.k wote hao wakimpigia kizinga cha Vocha za 2,000 huoni ingetosha kuitumia yeye na Mke wake nyumbani 😜

Bora Mkeo hata kama una kipato kidogo ataweza kuvumilia as unampa yeye maybe 120k unamwambia naomba unisaidie kubajeti hadi Mwezi Ujao.
 
Nilikuambia kuwa wanawake mna akili finyu sana tazama hiyo hoja yako ya kibaka na boss nani kakudangaya mtu akiwa boss ndiyo kuwa na akili au nani kakudanganya mtu kuwa profesa ndiyo kuwa na akili ....kumbuka kitabu kina elimu ila hakina akili .....kwa hoja yako hiyo wewe unadhani [emoji117] samia ana akili kubwa..wakati ni 0 kichwani ...kuna wanawake wengi tu tuna wajua wametumia tobo zao mbili za chini na si akili zao vichwani kupata vyeo na kuwa mabosi matokeo yake ndiyo kama haya yanayo tokea kwa Sa100
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hujaelewa mada inasemaje au inataka nn, umekurupukaaa tyuuh.
Nisengeelewa ningechangia? au na wewe ushakua wa kiwaki kama huyo demu mwenzako anaependa Kila kitu free nahisi walishampakua yule, hata na wewe ushapakuliwa ndo maana akili zenu zipo sawa watu mnaopakuliwa sijui huwa mkoje
 
Mkuu kwa wanaume wanaohudumia wake zao waendelee tu na mfumo dume, mimi nazungumzia wale wanaotaka wake zao wawasaidie majukumu, wanawake hawawezi kukubali kuwasaidia majukumu yenu halafu bado wawe submissive
Majukumu yapi? Mwanamke akae home aangalie familia.
 
Halafu mi naona kuna kitu hamkielewi hamna mwanaume yoyote anayemwita mke wake ombaomba labda kama hana akili timamu tunachokataa ni mpenzi hata hamjaoana alafu unataka upewe hela na uhudumiwe as if ni mke kwa kigezo tu ni wapenzi hiki ndicho wengi tunakikataa na ombaomba ndo wanaitwa Hivo yani inakua kama anakufanyia favour then unamlipa

HAMNA MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUMUITA MKE WAKE OMBA OMBA NA HAYUPO KWASABABU KUMUHUDUMIA MKE NI WAJIBU NA SI HIARI
 
Hahaha hilo haliwezekani mkuu maana 'necha' imeshawaambia wanaume wasitosheke na mwanamke mmoja tu
 
Wewe sidhani hata kama unaelewa unachokiandika naona unabwabwaja tu hivi unafahamu maana ya sentensi "other factors being constant", kama ni kutoa hayo matobo mbona hata wanaume wengi tu siku hizi wanatoa na wengine wanadanga kwa mijimama ili wapate urahisi wa maisha, kama kweli wanawake wote wangekuwa vilaza tusingeendelea kuona maboss wa makampuni wanawake either wangekuwa wanafukuzwa kazi au wanashushwa vyeo kila siku
 
Kuna wanaume hawataki hilo yani anasema kabisa yeye hawezi kuoa mwanamke golikipa, halafu hata kwa hao wapenzi unaowazungumzia wengi wenu huwa mnataka wawape zile treatment za mke ikiwemo heshima na utii, ndio maana nao wanaona wana haki ya kuhudumiwa
 
Hahaha hilo haliwezekani mkuu maana 'necha' imeshawaambia wanaume wasitosheke na mwanamke mmoja tu
Basi labda Kwa kuwa sisi wengine tumezeeka, maana tulishazoea kula "wali maharage" tangu angali Vijana hadi sasa tuna Mvi kichwani pasipo kukinai aina Moja ya chakula πŸ˜œπŸƒπŸƒ
 
Hao Wanaume wenzetu watakuwa waoga wa maisha.

Kwanza Wanawake wengi walioajiriwa huwa hawasaidii Waume zao kifedha pamoja na kwamba nao Wana kipato.

Bora akae nyumbani kuhudumia watoto na kuendelea kukuzalia πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…