Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kuna vitu nakubaliana, kuna vitu sikubaliani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa nakutafuta Sana, Nina mazungumzo very sensitive GrahamsHiyo 50/50 unayotaka Mjukuu mtaweza majukumu yake?
Kwamba Mume atoe Kodi ya miezi 6 ya nyumba na Mke alipie miezi 6 iliyobaki ya Kodi.
Wanawake wenyewe ndiyo hawa ambao wanasema mshahara wao ni wao pekee ila wa Mshahara wa Mume ndiyo wa kutumika ndani ya nyumba?
Nina rafiki yangu ni Mzungu, wao ndiyo wanaiishi hiyo 50/50 ambapo wamegawana majukumu sawa sawa na Mume wake.
Ana watoto 2 na Mume wake, mtoto mmoja ana msomesha na kumgharamia yeye matibabu/mavazi na Kila kitu kuanzia alipozaliwa hadi Chuo Kikuu na mtoto mwingine ana gharamiwa yote hayo na Mume wake.
Nieleze kama Kuna Mwanamke Bongo hii ataweza kuyafanya hayo.
Ubunge wenyewe mnapewa bure bure na Chama
Mungu alianza kumuumba Adam, akaona yupo mpweke, kutoka ktk nyama na mifupa ya Adam akamtwaa mwanamke Eva ili awe msaidizi wa mume wake pia ili Adam asiwe mpweke,Umemaliza kila kitu Jadda, tatizo wanaume wa Kitanzania hawaitaki hiyo kisa tu wanataka mtu wa kuwatii,
Uislam umeshaweka wazi majukumu ya Mwanamke nayo ni Kuzaa tu, kazi zote za nyumbani ni za Mwanaume kama hawezi aweke msaidizi, Uislam unamtaka Mwanaume amlipe mkewe ili amnyonyeshee watoto (haya hua hawayasemi kwenye mawaidha, wanabana kimyaaa)
Pinned ndio nini?Iwe pinned huu uzi1📌
Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki
Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi na mfumo dume na haki sawa ishike hatamu, kwa sababu wanaume hawataki tena majukumu hivyo hata hayo mamlaka hayawafai, wanaume wengi hawataki haki sawa ila wanataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi ya mwanaume
MImi naona kusiwe tena na mgawanyo wa majukumu yani hata kazi za nyumbani zifanywe na wote kama ambavyo kutafuta pesa limekuwa ni jukumu la wote, majukumu ya mwanamke yabaki yale ya asili na ya kimaumbile tu ambayo ni kubeba ujauzito, kuzaa na kunyonyesha, hayo tu ndio ambayo mwanaume hawezi kuyafanya ila majukumu mengine yote ya nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto tangu wakiwa wachanga mfano kuwasafisha, kuwauguza wakiumwa, nk yafanywe na wote kwa usawa kabisa
Na vile vile kwa mfano mume akiweka laki mezani na mke naye aweke laki mezani mahitaji yote ya nyumbani wanunue kwa usawa bills zote walipe kwa usawa, na watoto wao wawahudumie kwa usawa ikiwemo kuwalipia ada na mahitaji yao mengine yote kwa usawa, hiyo ndio maana halisi ya 50 50 siyo mmoja anamtegea mwenzie eti mtu anataka pesa mtafute wote na bills mlipe wote, ila kazi za nyumbani na kulea watoto afanye mmoja na bado huyo mmoja amtii mwenzie na amlee kama anavyowalea watoto wake, what kind of cockamamie logic is this
Na jambo jingine naona pia tuachane na suala la mwanaume kumtawala mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na habari za kichwa cha familia, yani hakuna tena kusema kwamba mwanamke anatakiwa amtii mumewe kila mtu awe na maamuzi juu ya maisha yake mwenyewe, kusiwe na wa kumuongoza mwenzake na pia kusiwe na habari za kuoa wala kuolewa tena bali iwe ni kuoana
Mnawalaumu wanawake kuwa wanadai haki sawa halafu hawataki majukumu lakini mnasahau kwamba sababu ya wao kukataa hayo majukumu ni kwa sababu mnataka wafanye yale ya kwenu tu, ila ya kwao bado mmewaachia wenyewe hamtaki kuyafanya yani huwezi kumuambia mwanamke ajitafutie pesa zake na akusaidie majukumu, halafu hapo hapo bado unataka huyo mwanamke akufanyie majukumu ya nyumbani na bado akupe heshima na utii
Kwanza hapo huyo mke anakuwa siyo msaidizi tena bali ni kama business partner tu hivyo ondoa kichwani suala la kumlazimisha akutii, hivi mnadhani mwanamke aliambiwa amtii mwanaume kwa misingi gani kama siyo kuhudumiwa maana huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, hakuna binadamu mwenye akili timamu anayefurahia kutawaliwa na binadamu mwenzie asiyewajibika kwa lolote juu yake na kiuhalisia ukitoa huduma zinazohusisha pesa hakuna wajibu mwingine mwanaume alionao juu ya mwanamke
Kama ikiwa mtoto anamtii mzazi wake kwa sababu amemzaa na amemlea, watu wa dini wanaitii miungu yao kwa sababu wanaamini imewaumba na inawapa uhai, je mwanamke anapaswa amtii mumewe kwa sababu gani, tena hata mtoto mwenyewe akishatoka kwao akaanza kujitegemea kinachobaki kwa mzazi wake ni ile heshima tu kuwa amemzaa, lakini huyo mzazi anakuwa hana mamlaka tena ya kumpangia mtoto maisha yake mfano afanye kazi gani au arudi nyumbani muda gani kwa sababu hamhudumii tena
Sasa inashangaza pale mwanaume anapotaka mkewe atafute pesa wasaidiane maisha kwa kisingizio kwamba mke naye ana mikono miwili na miguu miwili, ila huyo huyo mwanaume haoni ajabu kumtawala huyo mke mwenye mikono miwili na miguu miwili kama yeye, yani imefikia hatua wanaume wanaona uchungu kugawana mali na wake zao na wengine ndio kabisa hawataki kuoa kwa kisingizio kwamba eti wakishafanikiwa wake zao watadai talaka ili wagawane mali
Yani hawaconsider tena yale majukumu yote ambayo wake zao wanawafanyia pamoja na utii ambao wake zao wanawapa, siku hizi wanadai kwamba kila mtu ajitafutie pesa zake na ikitokea wameachana kila mtu aondoke na chake, lakini cha kushangaza kwenye majukumu mengine hawasemi kila mtu afanye kwa usawa na kwenye suala la mamlaka hawasemi kila mtu ajitawale mwenyewe
Wale waumini wa ukristo hasa wanaume kama mmeamua kufuata maandiko basi fuateni yote, na kama mmeamua kuyapuuzia basi yapuuzieni yote msichague yale yanayowanufaisha ninyi tu halafu mengine mnajifanya hamyaoni, kwa sababu maandiko yanasema mume ndio atakula kwa jasho na si mke, halafu mbele ndio yanaendelea kwamba mwanaume atamtawala mwanamke, yule mke mnayemuota wa Mithali 31 yalikuwa mawazo binafsi ya mfalme Suleiman na si maagizo ya muumba
Hivo basi ifike pahala wanaume mchague moja kati ya mwanamke mfanyakazi/mfanyabiashara au mama wa nyumbani, na aina yoyote utakayochagua hapo lazima ukubaliane na sifa zinazoambatana na aina hiyo ya mwanamke siyo unachagua mfanyakazi/mfanyabiashara mnasaidiana majukumu, halafu hapo hapo unataka awe kama mama wa nyumbani au unachagua mama wa nyumbani halafu hutaki kumhudumia unaanza kumuona golikipa
Hizi ni dalili za ushogaMkimaliza hili, mtaanza kuomba kuoana wenyewe kwa wenyewe.
Hamna akili hata kidogo, ni ujinga wenu tuu.
Afu hii 50-50 ndo imezalisha ushoga, inachochea ushoga na usagaji, mtakuja mseme mwanamke nae anahaki ya kuoa na mwanaume ana haki ya kuolewa Kwa kisa Cha 50-50, ndo unakuta mwanamke anaanza kuwasaga wanawake wenzake Kwa kujifanya kidume na mwanaume kufirwa Kwa kujifanya mwanamke Kwa kisingizio Cha 50-50 kuwa hakuna tofauti kati ya me na ke kwamba eti majukumu ya wote yawe sawa kisa mwanamke analiwa na mwanaume aliwe, na kisa mwanaume anakula na mwanamke awasage wenzake Kwa kujifanyisha kidumeNdio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki
Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi na mfumo dume na haki sawa ishike hatamu, kwa sababu wanaume hawataki tena majukumu hivyo hata hayo mamlaka hayawafai, wanaume wengi hawataki haki sawa ila wanataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi ya mwanaume
MImi naona kusiwe tena na mgawanyo wa majukumu yani hata kazi za nyumbani zifanywe na wote kama ambavyo kutafuta pesa limekuwa ni jukumu la wote, majukumu ya mwanamke yabaki yale ya asili na ya kimaumbile tu ambayo ni kubeba ujauzito, kuzaa na kunyonyesha, hayo tu ndio ambayo mwanaume hawezi kuyafanya ila majukumu mengine yote ya nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto tangu wakiwa wachanga mfano kuwasafisha, kuwauguza wakiumwa, nk yafanywe na wote kwa usawa kabisa
Na vile vile kwa mfano mume akiweka laki mezani na mke naye aweke laki mezani mahitaji yote ya nyumbani wanunue kwa usawa bills zote walipe kwa usawa, na watoto wao wawahudumie kwa usawa ikiwemo kuwalipia ada na mahitaji yao mengine yote kwa usawa, hiyo ndio maana halisi ya 50 50 siyo mmoja anamtegea mwenzie eti mtu anataka pesa mtafute wote na bills mlipe wote, ila kazi za nyumbani na kulea watoto afanye mmoja na bado huyo mmoja amtii mwenzie na amlee kama anavyowalea watoto wake, what kind of cockamamie logic is this
Na jambo jingine naona pia tuachane na suala la mwanaume kumtawala mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na habari za kichwa cha familia, yani hakuna tena kusema kwamba mwanamke anatakiwa amtii mumewe kila mtu awe na maamuzi juu ya maisha yake mwenyewe, kusiwe na wa kumuongoza mwenzake na pia kusiwe na habari za kuoa wala kuolewa tena bali iwe ni kuoana
Mnawalaumu wanawake kuwa wanadai haki sawa halafu hawataki majukumu lakini mnasahau kwamba sababu ya wao kukataa hayo majukumu ni kwa sababu mnataka wafanye yale ya kwenu tu, ila ya kwao bado mmewaachia wenyewe hamtaki kuyafanya yani huwezi kumuambia mwanamke ajitafutie pesa zake na akusaidie majukumu, halafu hapo hapo bado unataka huyo mwanamke akufanyie majukumu ya nyumbani na bado akupe heshima na utii
Kwanza hapo huyo mke anakuwa siyo msaidizi tena bali ni kama business partner tu hivyo ondoa kichwani suala la kumlazimisha akutii, hivi mnadhani mwanamke aliambiwa amtii mwanaume kwa misingi gani kama siyo kuhudumiwa maana huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, hakuna binadamu mwenye akili timamu anayefurahia kutawaliwa na binadamu mwenzie asiyewajibika kwa lolote juu yake na kiuhalisia ukitoa huduma zinazohusisha pesa hakuna wajibu mwingine mwanaume alionao juu ya mwanamke
Kama ikiwa mtoto anamtii mzazi wake kwa sababu amemzaa na amemlea, watu wa dini wanaitii miungu yao kwa sababu wanaamini imewaumba na inawapa uhai, je mwanamke anapaswa amtii mumewe kwa sababu gani, tena hata mtoto mwenyewe akishatoka kwao akaanza kujitegemea kinachobaki kwa mzazi wake ni ile heshima tu kuwa amemzaa, lakini huyo mzazi anakuwa hana mamlaka tena ya kumpangia mtoto maisha yake mfano afanye kazi gani au arudi nyumbani muda gani kwa sababu hamhudumii tena
Sasa inashangaza pale mwanaume anapotaka mkewe atafute pesa wasaidiane maisha kwa kisingizio kwamba mke naye ana mikono miwili na miguu miwili, ila huyo huyo mwanaume haoni ajabu kumtawala huyo mke mwenye mikono miwili na miguu miwili kama yeye, yani imefikia hatua wanaume wanaona uchungu kugawana mali na wake zao na wengine ndio kabisa hawataki kuoa kwa kisingizio kwamba eti wakishafanikiwa wake zao watadai talaka ili wagawane mali
Yani hawaconsider tena yale majukumu yote ambayo wake zao wanawafanyia pamoja na utii ambao wake zao wanawapa, siku hizi wanadai kwamba kila mtu ajitafutie pesa zake na ikitokea wameachana kila mtu aondoke na chake, lakini cha kushangaza kwenye majukumu mengine hawasemi kila mtu afanye kwa usawa na kwenye suala la mamlaka hawasemi kila mtu ajitawale mwenyewe
Wale waumini wa ukristo hasa wanaume kama mmeamua kufuata maandiko basi fuateni yote, na kama mmeamua kuyapuuzia basi yapuuzieni yote msichague yale yanayowanufaisha ninyi tu halafu mengine mnajifanya hamyaoni, kwa sababu maandiko yanasema mume ndio atakula kwa jasho na si mke, halafu mbele ndio yanaendelea kwamba mwanaume atamtawala mwanamke, yule mke mnayemuota wa Mithali 31 yalikuwa mawazo binafsi ya mfalme Suleiman na si maagizo ya muumba
Hivo basi ifike pahala wanaume mchague moja kati ya mwanamke mfanyakazi/mfanyabiashara au mama wa nyumbani, na aina yoyote utakayochagua hapo lazima ukubaliane na sifa zinazoambatana na aina hiyo ya mwanamke siyo unachagua mfanyakazi/mfanyabiashara mnasaidiana majukumu, halafu hapo hapo unataka awe kama mama wa nyumbani au unachagua mama wa nyumbani halafu hutaki kumhudumia unaanza kumuona golikipa
Mkuu siyo kweli kwamba wanaume wote wanaowaambia wake zao watafute pesa basi sababu ni kwamba mwanamke anahitaji zaidi kuliko kilichopo, wanaume wengine ni kwamba hawataki kabisa kuhudumia wake zao hata kwa zile basic needs tu yani inshort hawataki mwanamke anayekaa ndani kusubiri kuletewa lakini hapo hapo wanataka mke atimize majukumu ya nyumbani na bado ampe heshima na utii, na ukiona mwanamke anataka zaidi ya kile kilichopo basi ujue huyo anakijua kipato cha mumewe na anajua kabisa kuwa kuna pesa mumewe anabania na mara nyingi wanaume huwa wanahonga michepuko au wanafanyia mambo mengine yasiyo ya msingiWanaume wanao waambia wanawake kwamba watafute pesa zao wenyewe ni kwa sababu unakuta mwanamke anahitaji zaidi kuliko kile kilichopo, kwani mara ngapi mnahongwa magari, nyumba, biashara n.k?
Unampa mtu 500 uliyoitafuta kwa jasho halafu anakuambia umenionaje kunipa sh 500 hainitoshi, hivi huyo unamjibu vipi? hali ya kuwa ndicho ulichonacho? na mfukoni huna kitu.
Kingine ni nia ovu wanayokuja nayo wanawake kwa mwanaume.
Wanawake wanabadilika sana aisee, ndio maana wanawake wenye uchumi wanaogopwa na wanaume, hata kama ulianza nae kipindi hana uchumi mzuri siku akipata kuna dharau flani zinaanza automatically anaanza kuku treat kama second class citizens.
Sio inferiority complex lakini wanawake wenye pesa wamekaa ile kiboss sana, halafu minato na tambo flani ambapo hizo pigo na sisi ni moto na maji, ndio maana mahusiano mengi yanavunjika chap.
Kuhusu majukumu ya nyumbani ni kutokana na asili.
Na mie nikuulize kwenye kutongoza mbona mnategea sie ndie tuanze mnashindwa nini kuturushia mistari? kwa sababu kiasili wanawake wana aibu, asili ya mwanaume ni kutoka kwenda kutafuta ili familie ile, mwanamke alee watoto nyumbani.
Mwanzo 3:16
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
Mwanzo 3:17-24
Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako. Ardhi itakuzalia michongoma na magugu, nawe itakubidi kula majani ya shambani. Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa
Mkuu binafsi naona hao wanawake ambao hawataki ufeminia na wanakwepa majukumu ya kutafuta pesa wanaendana na wale wanaume wanaopenda mfumo dume na ndio wanafaa kuwa nao, na hilo mimi sina tatizo nalo kabisa tatizo ni pale mwanaume anapotaka mfumo dume halafu bado anataka mwanamke afanye majukumu ya kutafuta pesa na bado ampe heshima na utii kama mwanaume, kuhusu mahari nafikiri siku jamii zetu zikiacha kuona kwamba mwanamke akiolewa familia yake inalose huku mwanaume akioa familia yake inagain basi huu utaratibu wa mahari utaachwa na automatically utajifia wenyewe tuWanawake wengi wa Afrika, hususan vijana wa mijini, hawatapenda mfumo wa majukumu sawa na haki sawa, wengi wamezoea kudanga na kuletewa.
Wengine huwa wanatuambia kabisa hawapendi ufeminia kwa sababu unawapa majukumu mengi ambayo hawayataki.
Na huo ndio mfumo ambao wengi wamelelewa nao na wanaukubali.
Ukitaka kujua hilo, weka mada ya kupinga mahari, sema mwanamme kulipa mahari ni mfumodume, wanawake waolewe bila mahari.
Halafu angalia majibu ya wanawake.
Mkuu binafsi naona hao wanawake ambao hawataki ufeminia na wanakwepa majukumu ya kutafuta pesa wanaendana na wale wanaume wanaopenda mfumo dume na ndio wanafaa kuwa nao, na hilo mimi sina tatizo nalo kabisa tatizo ni pale mwanaume anapotaka mfumo dume halafu bado anataka mwanamke afanye majukumu ya kutafuta pesa na bado ampe heshima na utii kama mwanaume, kuhusu mahari nafikiri siku jamii zetu zikiacha kuona kwamba mwanamke akiolewa familia yake inalose huku mwanaume akioa familia yake inagain basi huu utaratibu wa mahari utaachwa na automatically utajifia wenyewe tu