Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

50×50 kwa hamsini ni kampeni ya kishetani, ni upuuzi unaolenga kuua familia. Wanawake hawataolewa na kuishi na waume zao maana watakuwa hawana heshima, adabu na utii kwa waume zao. Wanawake watakuwa wanazalishwa hovyo kama wanyama na kuachwa walee watoto peke yao. Itakuwa ni mtindo mpya wa maisha na umeanza kushika kasi, single mothers wanaongezeka na wanazaa watoto wasioeleweka baba zao. Watoto wa kiume wanalelewa kikikekike na madhara yake yanaonekana
 
Mkubwa nakutafuta Sana, Nina mazungumzo very sensitive Grahams
 
Mungu alianza kumuumba Adam, akaona yupo mpweke, kutoka ktk nyama na mifupa ya Adam akamtwaa mwanamke Eva ili awe msaidizi wa mume wake pia ili Adam asiwe mpweke,

Kama uliumbwa ili uwe msaidizi wa Adam kwanini unataka Adam akufanyie Kila kitu wewe kazi yako itakuwa nini na utakua umeumbwa na Mungu ili iweje sasa
 
Wazungu wenyewe baada ya kuimplement 50-50,talaka zimeiongezeka na kwa mujibu wa CNN US ndoa zimepungua kwa asilimia zaidi ya hamsini.Manake huo mfumo hauwezekani kuongoza familia na siku hizi huko mbele sababu ya ujuaji wenu, wanawake wajuaji kama nyinyi wanaume wanaume wanapiga na kutambaa.

US huko wanaandaa mpaka single events, special tu kuwakutanisha wanawake wapate waume,ila wanao jitokeza ni wanaume wachache. Kuna single event moja US,walijitokeza wanawake 147 na wanaume watatu tu mpaka muandaaji akawa analalamika na wengi walio jitokeza type zile zile zinazo jifanya wajuaji na wasomi wasiokuwa na maadili. Msijidanganye kwamba mnaogopwa hamna mwanaume anaogopa kumtongoza mwanamke yoyote, ila akigundua ni mjiuaji unapenda mashindano plus 50 -50 kibuti kikuhusu.

Hata humu wengu wenu, mkitongozwa mkitolewa dinner siku ya kwanza tu kwenye bili hatuwasikii mkisema tutoe nusu kwa nusu au kama yupo aliye lipa nusu ya bili baada ya kutolewa out siku ya kwanza anyooshe kidole.

Mfumo dume ndio msingi na ni nguvu iliyo iongoza dunia tokea kuumbwa kwake.
 

Mkimaliza hili, mtaanza kuomba kuoana wenyewe kwa wenyewe.

Hamna akili hata kidogo, ni ujinga wenu tuu.
 
Afu hii 50-50 ndo imezalisha ushoga, inachochea ushoga na usagaji, mtakuja mseme mwanamke nae anahaki ya kuoa na mwanaume ana haki ya kuolewa Kwa kisa Cha 50-50, ndo unakuta mwanamke anaanza kuwasaga wanawake wenzake Kwa kujifanya kidume na mwanaume kufirwa Kwa kujifanya mwanamke Kwa kisingizio Cha 50-50 kuwa hakuna tofauti kati ya me na ke kwamba eti majukumu ya wote yawe sawa kisa mwanamke analiwa na mwanaume aliwe, na kisa mwanaume anakula na mwanamke awasage wenzake Kwa kujifanyisha kidume

Hii 50-50 ni ajenda za kupitisha ushetani
 
Mkuu siyo kweli kwamba wanaume wote wanaowaambia wake zao watafute pesa basi sababu ni kwamba mwanamke anahitaji zaidi kuliko kilichopo, wanaume wengine ni kwamba hawataki kabisa kuhudumia wake zao hata kwa zile basic needs tu yani inshort hawataki mwanamke anayekaa ndani kusubiri kuletewa lakini hapo hapo wanataka mke atimize majukumu ya nyumbani na bado ampe heshima na utii, na ukiona mwanamke anataka zaidi ya kile kilichopo basi ujue huyo anakijua kipato cha mumewe na anajua kabisa kuwa kuna pesa mumewe anabania na mara nyingi wanaume huwa wanahonga michepuko au wanafanyia mambo mengine yasiyo ya msingi
 
Mkuu binafsi naona hao wanawake ambao hawataki ufeminia na wanakwepa majukumu ya kutafuta pesa wanaendana na wale wanaume wanaopenda mfumo dume na ndio wanafaa kuwa nao, na hilo mimi sina tatizo nalo kabisa tatizo ni pale mwanaume anapotaka mfumo dume halafu bado anataka mwanamke afanye majukumu ya kutafuta pesa na bado ampe heshima na utii kama mwanaume, kuhusu mahari nafikiri siku jamii zetu zikiacha kuona kwamba mwanamke akiolewa familia yake inalose huku mwanaume akioa familia yake inagain basi huu utaratibu wa mahari utaachwa na automatically utajifia wenyewe tu
 

Haya mengine ni matatizo ya uwezo kiakili na afya ya akili.

Kuna watu ni sadistic tu wanataka ku control wengine kuwafanya kama watumwa wao.

Sasa kama mtu unajielewa na hutaki huo ujinga, unawakwepa tu.

Na mara nyingine wanakuwa very charming kwanza, lakini basically ukiwa muangalifu utawajua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…