Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Always malaya ndiye ana demand kuhudumiwa na anaendekeza tamaa.

Mwanamke mwema hana tamaa na anaridhika na anachopewa.

Hakuna mwanamme asiyependa kumuhudumia mwanamke wake.
Mwa 3:16 SUV

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Mtoa mada wewe ni dini gani? Hebu chukua mda kusoma fungu hili, weka msisitizo sentensi yaa mwisho
 
Wewe ndio huna hoja hadi sasa hujanijibu hoja yangu hata moja zaidi ya kubwabwaja tu yani kama hadi wewe ni genius basi niamini hata wale walioko kwenye wodi za vichaa nao ni magenius, nilikuuliza hivi other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mitaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani unaanza kuniletea habari za matobo sijui samia such a lame argument, yani kadiri unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kudhihirisha ujinga wako bora uache tu kuandika kwenyewe shida unanipa tabu tu yani wanaume wote mngekuwa na akili kuliko wanawake wote basi kusingekuwa na mashoga, machawa, vibaka, wapiga debe, na tabia nyingine za kipumbavu mnazoziita kazi za halali
Magenius wengi ni vichaa. Nimesha kujibu kuwa akili za mwanamke yoyote ni finyu kuweza kuongoza nchi .... uongozi ni vita na damu siyo kukatika mauno.....nchi yoyote inayo ongozwa na mwanamke hiyo nchi hipo kwenye hasara kubwa sana mwanamke ni kipofu ...ndiyo maana wanaongoza kwa kudanganywa na kudanganyika.... mtu strong kama mimi uwezi kunidanganya nikadanganyika kipumbavu
 
Sasa hao wanaume unaowasemea huwa wanatimiza majukumu yao hawaombi msaada toka kwa wake zao wala kutaka kujua hela zao zinaenda wapi, tatizo linakuja kwa wale wanaotaka kusaidiana maisha na wake zao halafu hapo hapo wanalazimisha mfumo dume, ni lazima wachague moja watimizie majukumu yao na wahudumie wake zao bila vinyongo au la wawape 50/50 wanayotaka
Wale wanaume wazamani hizo, mbona kama walikua na mfumo dume na bado mwanamke alikua anapambana kwenye kilimo na kazi mbalimbali kuleta chakula nyumbani?

Ukifuatilia vizur utagundua wanaume Wakipndi hicho walikua wanakaa kama wafalme wake zao ndio walikua wanafanya kazi mashambani pamoja na watoto.
 
Wewe ndio huna hoja hadi sasa hujanijibu hoja yangu hata moja zaidi ya kubwabwaja tu yani kama hadi wewe ni genius basi niamini hata wale walioko kwenye wodi za vichaa nao ni magenius, nilikuuliza hivi other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mitaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani unaanza kuniletea habari za matobo sijui samia such a lame argument, yani kadiri unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kudhihirisha ujinga wako bora uache tu kuandika kwenyewe shida unanipa tabu tu yani wanaume wote mngekuwa na akili kuliko wanawake wote basi kusingekuwa na mashoga, machawa, vibaka, wapiga debe, na tabia nyingine za kipumbavu mnazoziita kazi za halali
"Ushoga ni ukosefu wa akili" Wewe ni mjinga kama wajinga wengine .
 
Automatic Mwanaume huwa anakuwa juu. Kama unataka kuamini hilo hata hao feminist kama wewe kuna masuala kadhaa wanawake wanahitaji yatekelezwe na mwanaume bila wao kujua au kutojua. Mwanaume ndiye aliyepewa mamlaka hapa duniani na sio vinginevyo.

Ukienda kinyume na hilo lazima mambo fulani yaharibike. Suala la mwanaume na mwanamke ni nature kama tetemeko, mafuriko, n.k. huwezi kubadilisha au kuzuia kwa sababu Muumba wa mbingu na ardhi ndiye aliyeamua iwe hivyo.
 
Binadamu huwa tunajifanya wabishi siku zote ila mwisho wa siku tunaangukia pua.
 
Nilijua tu Jadda utapigwa mawe..!!
Ila sema nini?? Ujumbe umefika, na umewachoma ndiomana wanakushambulia…

Wanaume wengi hawapendi kutimiza majukumu yao halafu wanataka kuheshimiwa, kuwatii…. Ndiomana wengine wameleft group wapate unafuu wa maisha kwa kutaka kufanana na sisi labda watapata pesa.
 
Waefeso 5:22-33​

Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe.

Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.

Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa. Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.
Hizo ni propaganda za kikundi cha wanaume walioamua kujipakulia minyama, ukiangalia maneno mengi ya biblia ni wanaume walijitungia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom