Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
katiba ipatikane tu nzuri mambo yatakua safMiezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO
- Wako watakaopiga kura
- Wako wanaosupport maandamano
- Wako wanaopinga
- Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
- Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO
NI UKWELI NATAKA MABADILIKO KAMA
- Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto
- Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi n.k
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA
- Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
- Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
- Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
- Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
- Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine
Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu
Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty
Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Ccm hawawezi leta katiba mpya itakayo-wabana wataleta itakayowabebakatiba ipatikane tu nzuri mambo yatakua saf
swala la nan kua president sio issue sana, zipo nchi president yupogo ila hana nguvu kama waziri mkuu!Ccm hawawezi leta katiba mpyq itakayo-wabana wataleta itakayowabeba
Huo ni mtazamo wakoMimi nataka mabadiliko na mapinduzi. Nimechoka kuwashuhudia wahuni peke yao wakiifurahia zaidi keki ya Taifa, huku mamilioni ya wananchi wengine wakiishi maisha ya kuunga unga.
Changamoto inaanzia kwa Rais kuwa madaraka makubwa sanaswala la nan kua president sio issue sana, zipo nchi president yupogo ila hana nguvu kama waziri mkuu!
kwanza hili swala la demokrasia ni tatizo kubwa sana, katiba iletwe tudeal na mawaziri na wabunge inatosha
Maombi kama yakitumika effective ni zaidi ya bundukiAdui unaemuweza usimuachie mungu malizana nae mwenyewe.
Wewe unataka mabadiliko kupitia maombi ila wao wanasimamia wanachokiamini kupitia bunduki
cha kupigania ni katiba apo mengine yote yatakua sawa japo pia haimaniishi ndo mwisho wa mattaizoChangamoto inaanzia kwa Rais kuwa madaraka makubwa sana
Mfano wa nchi gani iliwahi kupata mabadiliko kwa kufanya maombi/sala??Maombi kama yakitumika effective ni zaidi ya bunduki
Ila tarehe 29 October itajulikana njia ipi ni effective
Kumbe unajuaCcm hawawezi leta katiba mpya itakayo-wabana wataleta itakayowabeba
Maoni ya vichaa kama wewe huwa tunachambia tu chooniMiezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO
- Wako watakaopiga kura
- Wako wanaosupport maandamano
- Wako wanaopinga
- Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
- Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO
NI UKWELI NATAKA MABADILIKO KAMA
- Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto
- Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi n.k
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA
- Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
- Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
- Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
- Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
- Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine
Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu
Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty
Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Nimeshaelezea solution kwenye post ya kwanzaKumbe unajua
Sa unataka nn kifanyike
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO
- Wako watakaopiga kura
- Wako wanaosupport maandamano
- Wako wanaopinga
- Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
- Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO
NI UKWELI NATAKA MABADILIKO KAMA
- Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto
- Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi n.k
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA
- Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
- Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
- Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
- Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
- Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine
Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu
Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty
Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Hata maelezo yangu yamejitosheleza. Nimeanza na maneno "mimi nataka mabadiliko....."Huo ni mtazamo wako
Tunashukuru kwa maoni ila tulipofika bora jeshi lichukue nchiNimeshaelezea solution kwenye post ya kwanza
GoodluckTunashukuru kwa maoni ila tulipofika bora jeshi lichukue nchi