GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukweli ni kwamba Tanzania inabidi ifanyike reforms, na hii reforms lazima yafanyike maandamano, na hayo maandamano serikali haitaki, so njia pekee waandamanaji itabidi kukabiliana na polisi, makabiliano yakianza tayari ni vurugu.

Wanaosababisha hayo maandamano yasiwe ya amani ni serikali yenyewe.

Usije kutegemea serikali hii wataleta reforms na katiba kwa amani, hiko kitu hakipo na hakitotokea.

Hata jeshi lichukue nchi kwa muda ni sawa tu, acha wachukue wasafishe uchafu wote na uozo tuanze upya, tuipate Tanzania mpya, hata dhahabu hupita kwenye moto mkali ili ing'ae, iwe na ubora na thamani.
 
Ni utofauti wa mtizamo tu
 
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
Kwanza wewe siyo mjinga, ni Mpumbavu; ndiyo sababu unawaona waTanzania kuwa ni watu wa kuhimizwa na mtu mmoja, tena bila ya sababu na wao kuitikia wito.

Sina sababu ya kupoteza muda kukufafanulia, kwa sababu wewe ni mpumbavu, haitasaidia kukutoa huo upumbavu. LLaiti ungekuwa ni mjinga ingenilazimu nifanye hivyo.
 
Mimi nimeongelea mtazamo wangu sio kosa na Ahsante kwa kushiriki
 
huyu jamaa nishagundua ni mgonjwa wa akili(rejea upuuzi alokuwa akipost kipindi fulani hivi) asa unategemea nini kutoka kwa mtu kama huyu? Denis anaumwa na hataki matibabu!
 
Hiyo njia ya maombi ingekua inafanya kazi basi hayo mabadiliko yangekua yameshatokea.

Wahuni dawa yao ni kwenda nao kihuni tu kila raia awezeshwe kumiliki silaha uone kama hatutajifunza ustaarabu
 
Sisi wengine ni Wanadiplomasia kama ninyi, shida ya hii nchi ni moja. Kila Rais hayupo tayari kufanya hayo mabadiliko kwa wakati wake, yalipaswa kuwa yamekwisha tangu enzi ya Kikwete; so it is a play.

Pili; kumbuka Wananchi sio Wana diplomasia, so usizungumzie diplomacy linapokuja suala la kukutana Wananchi.
Ndio maana, hata wao wakiwa kwenye mikusanyiko na Wananchi, wanakuwa kwenye ulinzi mahsusi kwa ajili yao.

Ndio Maana, Wanafalsafa wa kale kwa kuelewa hilo, wakaja na muundo wa Kidemokrasia ambapo raia wanachagua Wanadiplomasia wao kuwakilisha Wananchi kwenye meza ya maamuzi.

Endapo Serikali ilyopo madarakani itaharibu huo mfumo wa upatikanaji wa Wanadiplomasia hao, maana yake Serikali hiyo itakuwa imeutafuta ubaya umma wake. AU mchakato mzima wa kupatikana hao Wanadiplomasia ukawa haupo FAIR maana yake Wananchi watachukua maamuzi wenyewe. So, unadhani hayo mabadiliko yaliyopatikana yanaweza kuletwa na bunge lenye chama kimoja? Nani ataamua? Nani atayasimamia wakati tayari ni tishio kwao wenyewe?

Ndio mana, unapoona watu wana hasira ni kwa sababu sisi kama raia hatufanyi siasa, hatufanyi diplomacy? WHY? Kwa sababu tumekuajiri kupitia kura.

Huwezi kuiambia Familia ya Mzee kibao and alike wawe diplomatic. Waliopoteza ndugu zao kwa utekaji, waliofungiwa viongozi wao wa Kisiasa, Waliopokea huduma mbovu, waliopokonywa mamlaka ya kuchagua na kuchaguliwa.

Usiogope mabadiliko, yana gharama of course. Ila kama anatokea kiongozi anakwambia "Hata mkipiga kura kwingine, CCM ndio itaunda Serikali" maana yake wananchi kama Wananchi hatuna maamuzi juu ya nani atuongoze.

Kama kiongozi ana ahidi ulemavu kwa mtu kwa kuwa anataka kuandamana (haki ya kikatiba) maana yake haki yako Kisiasa ipo chini yao, wanaiamulia wao. Si wewe.

So think again.
 
Mfano wa nchi gani iliwahi kupata mabadiliko kwa kufanya maombi/sala??
Mzee mwanzoni wakati naingi humu nilikuwa nakuona bonge la kilaza. Kumbe una akili zako timamu 🤣🤣
 
Who gives a rat ass about your shity and stupid opinion ,little fag .Get f outa here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…