Kwa jinsi nilivyokuwa desperate, yaan mimi hata wakija M23 wakitangaza kutuongoza mathalani tu waiondoe ccm.Hata jeshi lichukue nchi kwa muda ni sawa tu, acha wachukue wasafishe uchafu wote na uozo tuanze upya, tuipate Tanzania mpya, hata dhahabu hupita kwenye moto mkali ili ing'ae, iwe na ubora na thamani.
Wewe endelea kuchangamsha uziU
Uchizi wako huoni kuwa ni hasara kubwa kwa hii nchi??
Kama wewe chizi unaona ni "kuchangamsha uzi", sina tatizo na hilo; kwa sababu nimekwisha kujulisha mwanzo; sasa hivi nazungumza lugha inayokufurahisha kwenye hali yako hiyo ya uchizi.Wewe endelea kuchangamsha uzi
Endelea usichoke nakushukuru sana unachangamsha uziKama wewe chizi unaona ni "kuchangamsha uzi", sina tatizo na hilo; kwa sababu nimekwisha kujulisha mwanzo; sasa hivi nazungumza lugha inayokufurahisha kwenye hali yako hiyo ya uchizi.
Kwa hiyo usitie shaka na mimi, nimeweka muda maalum wa kuvaa uchizi ili tuelewane vyema wewe na mimi.
Nakuhakikishia hilo la kuchoka ondoa mashaka kabisa. Nitakuwa na wewe wakati wote utakaopenda tuwe pamoja.Endelea usichoke nakushukuru sana unachangamsha uzi
Ukichoka nenda kapumzike alafu urudi tena uendelee
Ila bahati mbaya hamna tuzo za kuita watu chizi
Wewe endelea kujifurahisha kumbuka neno lako sio sheria na halitakaa liwe sheriaNakuhakikishia hilo la kuchoka ondoa mashaka kabisa. Nitakuwa na wewe wakati wote utakaopenda tuwe pamoja.
Nikukumbushe, sasa hivi sina tofauti yoyote na wewe, kwa sababu nimekubali kuuchukua uchizi kama ulivyo nao wewe.
Kwa hiyo tuendelee.
Hapana, nakufurahisha wewe.Chizi mwenzangu kwa wakati huu.Wewe endelea kujifurahisha
Hakuna sehemu mimi nimekuita chiziHapana, nakufurahisha wewe.Chizi mwenzangu kwa wakati huu.
Hiyo hatua tumeimaliza muda kitambo sana; mbona unarudi nyuma? Nilikueleza toka mwanzo, ukitaka kuendeleza hayo ya uchizi usirudi nyuma; tuwe machizi kwelikweli; nami nikakuwekea muda maalum tuendeleze uchizi.Hakuna sehemu mimi nimekuita chizi
Yaani nikuite chizi kwa sababu nimetofautiana mtizamo au unaongea mambo usiyoyapenda mimi nimeshavuka hio hatua ya kifikra
Wewe endelea kuniita chizi mimi niko open kwa kukosolewa, kupondwa, kutukanwa mimi sio dikteta kwa hiyo endelea usichoke sababu unadhani unanikomoa au kunikera usichokeHiyo hatua tumeimaliza muda kitambo sana; mbona unarudi nyuma? Nilikueleza toka mwanzo, ukitaka kuendeleza hayo ya uchizi usirudi nyuma; tuwe machizi kwelikweli; nami nikakuwekea muda maalum tuendeleze uchizi.
Sina muda tena wa kurudi huko kwenye akili ulizonilazimisha niziache huko ili tuelewane vyema hapa kwenda mbele.
Hayo mambo ya kukubali kukosolewa hizo ni hadithi zilizopita kitambo. Kwa nini huelewi, au ni kwa sababu ya akili ya uchizi inayo kusumbua?Wewe endelea mimi niko open kwa kukosolewa, kupondwa, mimi sio dikteta kwa hiyo endelea usichoke sababu unadhani unanikomoa au kunikera usichoke
Endelea kuniita chizi usichokeeeeeeHayo mambo ya kukubali kukosolewa hizo ni hadithi zilizopita kitambo. Kwa nini huelewi, au ni kwa sababu ya akili ya uchizi inayo kusumbua?
Kwani nimesema popote kuwa nitachoka? Mbona unarudiarudia hivi, au ni kwa sababu tu ya hiyo hali ya uchizi?Endelea kuniita chizi usichokeeeeee
Endelea kuniita chiziKwani nimesema popote kuwa nitachoka? Mbona unarudiarudia hivi, au ni kwa sababu tu ya hiyo hali ya uchizi?
Sawa kabisa. Nitaendelea.Endelea kuniita chizi
Endelea kuniita chiziSawa kabisa. Nitaendelea.
Hilo ussiwe na shaka nalo.Endelea kuniita chizi
KIBONIKwenye hii post ya pili ntatoa hotuba kwa Taifa zima stay tune