Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Ni sahihi ila tumeaminishwa Kwa miongo Mingi kuacha vya kwetu na kutukuza vya wazungu...
 
Ni hoja ya mana Sana ,2010 Dr slaa aliwamaliza ccm Kanda ya ziwa

Kwasababu

GONGO kwakanda yaziwa Iko wazi kabisa katika Matumizi ,na kama ingekua iringa ingesemwa ugimbi au comoni

Tofauti yao na iringa ,wazuki inawekwa hasali wakati Kanda ya ziwa wazuki ni inaungwa sukari ,nahili ukiwa mgeni huko na usiwe na mwenyeji umekwisha wao huhisi umeenda kuwafatilia mipango yao
 
Wanzuki huko usukumani....
 
Henessy ni Gongo tena asili yake ni Gongo la Mwafrika!

Grant Whiskey ni Gongo pia

Gongo ni Spirit

Tofauti ni nani anatengeneza Gongo hiyo.

Naunga mkono hoja mara 1000%

Wale wanaodai hoja ya Msukuma imesukumwa na kutokuwa na Elimu ya Mzungu wajitathmini.
 
Nihakika na sahihi hapa ni ishu ya branding.....

Kutukuza vya wazungu na kudharau vya kwetu...
 
Watu waliotoka kwenye mwezi wa toba siku si nyingi, dhambi ni mahusiano ya jinsia moja tu!
 
Inasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Ni kweli, vilevile Gongo hiyohiyo ndiyo imewafanya wengine kuwa mabilionea.
Hakuna chechote Kibaya na Gongo zaidi ya Monopoly ya Wenye viwanda vya Kutengeneza Gongo....kuna tofauti
Tatizo kubwa ni vipimo tu vya pombe.
Tanzania tuna mabilionea waliolala(wamelazwa makusudi) na wakipewa nafasi na kuwezeshwa hawana tofauti na mabilionea wa Ulaya na Kwingine mfano....Wamiliki wa Distillers wakubwa Ulaya au hata mabilionea ya aina ya Kina Hilton wa Mahoteli n.k Tupo nao ila tunajidharau kwa sababu-hii inasikitisha- kwa sababu elimu tunayopata inatufundisha iwe hivyo.
 
Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Kwa elimu ipii? Kwana tofauti ya La saba na Kidato cha nne ni ipiii? Tofauti ya kidato cha nne na chuo kikuu ni ipiii? Vyeti au?

Kuna tofauti ya kuwa na IQ kubwa na Level ya elimu,,, kuna watu wangapi mtaani kwako wana taaluma kubwa na bado hawajielewi?

Mfano ukimchukua mtu ambaye ana degree ya afya akawa Mbunge, halafu akiwa Mbunge ikatokea siku Bunge linajadili masuala ya Viwanda na biashara,,, elimu ya afya ya huyo Mbuge siku hiyo itamsaidia nini?

Umewahi msikiliza Mbunge wa Kahama bwana Mashimba Ndaki akichangia hoja? Kwanza inatakiwa uelewe haya wabunge elimu wanayo wamepungukiwa vyeti tu vya elimu ya juu,, Muogope sana mtu ambae hana vyeti ila anamiliki biashara kubwa kubwa maviwanda nk
 
Nihakika na sahihi hapa ni ishu ya branding.....

Kutukuza vya wazungu na kudharau vya kwetu...
Niongeze tu, sio branding peke yake kwani Branding kwetu Afrika ni almost Automatic....Watengeneza Gongo wengi wanajulikana kwa Majina yao....Pombe hisi nyingi tunaziona zimebeba majina ya Familia au Jina la mpishi/wapishi wa Gongo, Wanzuki, n.k
Serikali inaweza tengeneza familia za mabilonea, tena wa Dollar wawili kila mkoa kila mwaka na kukusanya kodi na mapato mengine kutoka distillery bubu kama za Gongo na vinywaji vingine vya asili kama tu Vitaweza kutambuliwa kisheria Yaani tuna waajiri wetu, tuna uchumi wetu(usio rasmi)tunapumbazwa kuwa ndio hivyo, yani ni uchumi usio rasmi wakati ni business model za kiafrika ambazo tumedumaza kwa sababu elimu tunayopata inatufanya kufanya hivyo! Isitoshe kutegemea uchumi unaoonekana(formal economy) yaani Pesa mbele ambao kiuhalisia ni mfumo wa Kizungu.
Msukuma yupo Sahihi kabisa na aendelee kubarikiwa.
 
Mbunge DKT. MUSUKUMA abarikiwe..........
 
Kwa elimu ipii? Kwana tofauti ya La saba na Kidato cha nne ni ipiii? Tofauti ya kidato cha nne na chuo kikuu ni ipiii? Vyeti au?
Miswada na Sheria nyingi kwa Nchi zilizoendeleaπŸ™„ zinawakilishwa kwa kutumia lugha inayoweza kusomeka na wale wenye elimu ya kati ya Darasa la nne na form one! Hiyo ni Kisheria!
Kuna tofauti ya kuwa na IQ kubwa na Level ya elimu,,, kuna watu wangapi mtaani kwako wana taaluma kubwa na bado hawajielewi?
βœοΈβœ”οΈ


βœ”οΈβœ”οΈ
 
Miswada na Sheria nyingi kwa Nchi zilizoendeleaπŸ™„ zinawakilishwa kwa kutumia lugha inayoweza kusomeka na wale wenye elimu ya kati ya Darasa la nne na form one! Hiyo ni Kisheria!

βœοΈβœ”οΈ



βœ”οΈβœ”οΈ
Nimecheka kama mazur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…