Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Sioni hoja hapo zaidi ya ule ule upumbavu.

Yeye Msukuma kwanini asianzishe kiwanda na kuboresha hiyo Gongo halafu TBS waipitishe aiingize kwenye soko la ushindani pamoja na kutoa ajira.

Bunge limekuwa kijiwe cha porojo na vitu visivyokuwa na fact, huku mtaani tunaita oyaoya..
 
Cc. Nangu Nyau
 
100%, hii inaonyesha jinsi tulivyokuwa na fursa ila kwa ujinga au kutokujua tunajiwekea visheria vya kutuumiza wenyewe, soko lipo sana ndio maana tunaagiza pombe nyingi sana kutoka nje, ukiangalia investments za distillers wala sio kubwa sana, tuamke wote wananchi na serikali hii sekta inaweza kutengeneza ajira nyingi sana na utajiri mkubwa kwa wananchi
 
Ninasema kwa Uhakika. Miaka ya nyuma nilibahatika kufanya Uchambuzi wa Mifumo, na kubuni mfumo wa Mtandao, katika kupumzika nilipelekwa katika moja ya small business (distillery and Bar)ya ndugu yake niliyemfanyia Uchambuzi, Aisee nyie acheni tu, nilimuuliza kuanzia mtaji mpaka sheria wanazotumia, Kifupi Tunaweza- tukiondoa rushwa wanayopata Serikali zetu Afrika(siyo rushwa halisi) bali ahadi ya mapato ya kodi itokanayo na Viwanda hivyo, please keep in mind "Manipulation"+ "Monopoly" na kuondoa sheria wanazoziita 'sio rafiki" na kuweka sheria zinazodumaza ubunifu wetu na kukandamiza kabisa tamaduni zetu Mfano zile zinazohusu Standardisation na hata zile za Kuoana(harmonisation) kwa Copyright and Trademark laws baina yetu na huko. Sasa mpaka ufike muda wa kuwa at par...washachota za kutosha washa ji establish....suffice to say Monopoly inatamalaki!

Ndio maana hili neno "Tunaweza" linawakwaza sana aisee!
Fursa zipo, mitaji ipo Ubunifu upo ni Nia na Dhamira thabiti ndio inahitajika.
 
Nimecheka kama mazur
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
We acha tu, halafu huku kwetu wanatuletea za kuleta na Please Hate and Dis your mbunges. Wakati kwao Ulaya huko- kisheria, lazima miswada iwasilishwe kwa lugha na maneno yanaowezwa kusomwa na kueleweka na Primary school student. Ahhhh πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haahaaa,
πŸ€’
 
Ume elezea vyema sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…