Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

Fanya utatue Na changamoto hii mpya ya mabinti kutorudisha chupa
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh.600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh.500 tu na nikatoa sababu. Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh . 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh.600 , hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo .
Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.
Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.
Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Shukran Kwa mchango wako kwa wanyonge!
 
MBR au MDR??Yaani kuandika tu hujui sijui ulimshawishi vipi Avinash Jha hadi akakuelewa na jamaa ake Kavindra

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh.600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh.500 tu na nikatoa sababu. Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh . 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh.600 , hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo .
Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.
Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.
Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Tusaidie pia Kupendekeza Job Ndugai arejeshwe kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Tena ulitukosea saana,ungefanya iuzwe elfu nane (8000 kwa chupa)ile mi kemikali sio poa,watu wanatakawa washindwe kuinunua?
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh.600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh.500 tu na nikatoa sababu. Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh . 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh.600 , hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo .
Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.
Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.
Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Mkuu hongera sana. Sasa Fanya mpango ukafanye kazi kwenye viwanda vya nondo na mabati aisee
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.

Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.

Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh. 500 tu na nikatoa sababu.

Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh. 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh. 600, hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo.

Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.

Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.

Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.

tunaomba na tozo
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.

Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.

Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh. 500 tu na nikatoa sababu.

Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanza kuuza soda kwa sh. 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh. 600, hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo.

Majuzi ndio nimekumbuka, nilishasahau kuhusu hili jambo.

Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.

Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Hongera. Huo ndio muda Pepsi ilianza kuuza kuliko Coca na mpaka leo Pepsi inapendwa sana.
 
Back
Top Bottom