Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Mimi ni kijana mdogo tu ila nimezeeka usoni yaani ghafla tu ile sura konki ya kiutu uzima mixer upara kwa mbali naviona mwilini.

Nikitulia hâta bar wale machinga huwa wananiletea nguo na viatu vya kizee kizee yaani masuruali mabwanga ni viatu vya ajabu ajabu.

Wale machinga wenye vitu vya kijana kijana huwa wananipita direct.

Nikafanya research roughly kwenye umri wangu watu wanaongeza miaka 9 hadi 12.

Hii imenifanya akili iwe matured sina muda kabisa na vitu visivyo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…