Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

Au unanyanduana sana mkuu? Nasikia ni sababu, wanasema 1 ogasm ni kama kukimbia km 7 so tathimini unakimbia km ngapi km 7x...[emoji3]
Sio kweli. Mimi nilizeeka nilipokuwa na kitunza na kukibana ATHUMANI kichwa wazi kwenye boxerCC 150.


Ila nilipoanza kukifungulia ndio nimerudi kuwa kijana. Ingawa mwili umepungua kidogo.[emoji28]
 
Mimi ni kijana mdogo tu ila nimezeeka usoni yaani ghafla tu ile sura konki ya kiutu uzima mixer upara kwa mbali naviona mwilini.

Nikitulia hâta bar wale machinga huwa wananiletea nguo na viatu vya kizee kizee yaani masuruali mabwanga ni viatu vya ajabu ajabu.

Wale machinga wenye vitu vya kijana kijana huwa wananipita direct.

Nikafanya research roughly kwenye umri wangu watu wanaongeza miaka 9 hadi 12.

Hii imenifanya akili iwe matured sina muda kabisa na vitu visivyo na maana
Acha pombe zinazeesha haraka sana...
 
Back
Top Bottom