Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

Acha kubeti acha kunywa pombe za kienyeji zakupima,punguza stress,punguza madeni yasiyokua na ulazima,kula chakula kwa afya,sio kushindia chipsi na yai kila siku,
Kifupi tatizo lako ni stress na lishe bora.
 
Pombe, sigara, sukari na mafuta huzeesha watu sana epuka vitu hivyo. Kula matunda, vegetables na whole grains.
 
Pombe, sigara, sukari na mafuta huzeesha watu sana epuka vitu hivyo. Kula matunda, vegetables na whole grains.
Hii kitu inategemea na ubora wa pombe yenyewe , pombe zipo za kila aina ,kuna mpka pombe zenye mlo kamili ndani yake ni pesa yako tu😁
 
Una bahati sana maishani ndugu.Yaani umeanza kuiona kesho yako kwa kupitia leo hii?What a lucky you!
 
Hahahahahahaa nahis nasemwa mimi aiseee sijui
Hapa nilipo 34 ila hizo shikamoo nazopewa mpaka na 40+

Na mimi nimekubali hilo nikiulizwaga nasema nina 48fresh tu na wengi wanaamini

Sababu mvi
Upara unaanza kuja
Na hekima kidogo ndo baaasi
 
Zipo nyingi tu , bei inawekwa kulinga na ubora , ubora pia unazingatia afya ya mlaji ,ata kwenye bia ,sio kila bia zinafanana zinatofautina bei kulingana na ubora .
Kuna utofauti na mchanganyiko wa habari kuhusu pombe.Anayekunywa grants(ni bei gharama na ni kali)anaweza kufa haraka au kudhoofika kuliko anayekunywa bia za kawaida na ni bei ndogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…