Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

Sasa uache kuparamia madirisha ya watu kupiga chabo.
 
Inaonekana ni mtu wa stress sana hata uandishi wako unasadifu acha kabisa kunywa bia bigwa kitu kingine we jikubali uwe na amani kuendelea na mishe mishe zako
 
Punguza kunywa pombe chafu

Tafuta pesa.
 
kubali tu umezeeka maana umepitia magumu mengi sana na bado yanakuhenyesha vilivyo 🐒

ndio hali ya dunia usisikitike sana 🐒
 
Acha ulevi ,jaribu kutumia showergel nzuri wakati wa kuoga sio unatumia sabuni ya kuoshee vyombo ndio maana ngozi inakomaa kama kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…