Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Dunia ukifuata makundi ni chanzo cha kupotoka ,fuata mafundisho na jiepushe na makundi maana hayo makundi yanaongozwa na watu kama wewe.

Binadamu kiuhalisia wana uwezo unaofuata kwa kuelewa mambo ila wapo ambao wana IQ kubwa ,ila ukweli ni kwamba binadamu hata wawe na tofauti fulani kifedha ,elimu ,mamlaka na mambo mengi ila wote wanakuwa ni binadamu.

Kama dini ni maandiko basi fuata vitabu na sio makundi ya watu ,hata hapa bongo katiba ipo ila viongozi hawafuati ni kama imewekwa pembeni ...Ishu ya demokrasia imebaki kweny makaratasi.

Jambo unaliona lina mashaka sana achana nao ,kufuata mkundi sijui madhehebu ni mwanzo wa kupotoka jaribu kusoma na uwe katika sehemu dlama achana na mkundi.
 
Bora afrika tuwe na dini yetu wenyewe ma a hizi za kuletewa zinatufanya tunachukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe,ndio lengo lao kweli
Mbona wao hawauwani,kuuwana Africa kumekuwepo hata kabla ya dini soma historia.
 
Amina sana umetoa ushauri wa kikubwa sana thank you so much
 
Umeanza sasa kufunguka kiakili.
 
Kila la kheri na huko ukikuta shekh akufuraishi hamia budha...chokra chokra ukifa tukuchome.

Hoja zinazokufanya uhame ni dhaifu si za mtu aliyeko kwenye dini hiyo...wewe ni kobazi umekuja kuonyesha ujinga wako.
Siijui hata njia ya msikiti
 
Sijui anadhani akitishia hivyo watu watachangishana hela ili walimpe na kumbakiza?
Mtu anatuambia amesoma ila ameona lile ni sahihi. Badala ya kufanya maamuzi anakuja kujilizaliza huku.
Let Hela nibadili maamuzi
 

"Itakapokuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,

Kisha ukawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi,

Basi hapo zisabili sifa za Mola wako na umtake msamaha ,hakika yeye ni mwingi wa kukubali toba".
 
Kimbia haraka sana msikitini ukasilimishwe kabla hujachelewa na kufa kafiri.
 
Na bado hawajasema ,watasema tu.
 
Mbona wao hawauwani,kuuwana Africa kumekuwepo hata kabla ya dini soma historia.
Sure unasema ukweli. Ila dini imeleta chuki zaidi ,hapo za kale waliuana kisa ya ukabila kansa Ila saivi Kuna kansa ya udini. Yaani unakiona kuwa wewee ndiye mtt Halali wa mwenyezi Mungu wengine Ni wa shetani.
Mie huwa nawachora mnavyoringa na dini zenu hizo za kuletewa ,pia na mashua enzi hizo
 
Kiongozi kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote hutumbukia shimoni. Tafuta kanisa linalohubiri kweli yote ya Yesu Kristo. Jipe muda kutafuta hayo makanisa ukishindwa omba msaada.
 
Kama wewe unahisi unaweza kumtafuta mungu mwenyewe bila kutegemea kanisa acha kusali umtafutie hata nyumbani kwako
Nilishafanya hivyo kitambo,maana neno linasema wamwabuduo halisi watamwabudu katika roho na kweli.
 
Jitu jeusi karma tako la iddi Amin linatamani kuwa mwarabu.

Mxiuuuuuuu
 
Wazungu hawajawashtukia kabisa Hawa mabwana madevu ndio maana huku Afrika wanatumia vikundi vya kijihad maana wakija kwa mfumo huo sisi tunawajua vizuri zaidi ubazazi wa mwarabu kuliko wazungu. Hata hii migration ya waarabu kukimbilia nchi za ulaya ni mkakati, hizi kampuni za waarabu zinazonunua timu kubwa za ulaya za mpira wa miguu ni mkakati, mikakati mingine ninkushawishi baadhi ya viongozi kujiunga na jumuia zao kama oic , kutoa misaada isiyo ya kimaendeleo kama kujenga misikiti hata sehemu ambayo binaadamu hayupo wakiamini huko MBELENI watakuja kulazimishwa watu kujaa humo
 
Jitu jeusi karma tako la iddi Amin linatamani kuwa mwarabu.

Mxiuuuuuuu
Tuendako huko mbele jinsi wanavyomuona mwarabu kama malaika, wakimtetea kwa makosa dhidhi ya ubinaadamu aliyoyafanya wakati wanukoloni, wafuasi wataanza kujipaka make up ili wafanane na mwarabu. Sasa hivi wameanza kwa kasi kupaka Ina ndevu ili zionekane kama za mwarabu
 
Hujawahi kuwa na Imani thabiti Kwa unayemuamini,usingetetereshwa na mambo yaliyokwisha tabiriwa tangu enzi za manabii,hakuna jipya lolote hapo kwenye yanayoendelea Sasa kwenye kanisa,hakuna jipya kuhusu manabii fake walishatabiriwa,watu kupenda pesa ilishatabiriwa,ila Kwa vile uko na Imani ya haba huku hapakufai,hamia tu upande wa pili....Maana ufalme wa Mungu utatekwa na wenye nguvu na wenye misuli ya Imani imara
 
Sasa umepoteza imani na ukristo/wachungaji huko uendako utapoteza marinda.
Biliv me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…