Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Kwa mafundisho ya Allah yanasema akiwa muislamu awatenge mpaka wazazi wake na ndugu zake Kwanini asiogope?

Allah na Muhammad wanasema

Koran 9;23. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri (wasio waislamu)kuliko Imani (uislam)....
 
1Falme 19:9-18.."Eliya akalala katika pango, Mungu akamtokea Eliya akamuuliza unafanya nini hapa Eliya?akajibu ninaona wivu mwingi kwa ajili ya Bwana,maana wana Israel wameyaacha maagano yako....Bwana akamjibu Eliya nina watu 7000 wasiopiga goti na kumwinamia Baali"....nini nachotaka kusema,kufananisha imani mbili ni tatizo kubwa yaonyesha unalo na hujui unachoamini,ziko nchi hazina uhuru wa kuabudu lkn bado watu hao wanamuamini Kristo...ukifahamu kua Kristo ndio mwokozi wako,hakuna kinachoweza kukutoa...kama unataka kwenda kwenye Uislam nenda,lkn usijifiche kwenye badiriko ya kanisa,soma Math 24,inasema siku za mwisho watatokea makristo wengi wa uongo,...kipi ambacho Bible hakija sema?
 
Kwahiyo mke zaidi ya mmoja kuna athari gani?!
Kwamba bora mke mmoja 'na vimada?
 

Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    52.5 KB · Views: 1
Mkaribishe kubusu jiwe weka wazi
Alafu msomee na hii , kwamba anaebadili dini ya uislam jambia linapita kwenye shingo yake Allah amesema
Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
Nafikiri ameona na ataona mengi zaidi ikiwemo kufikwa na mitihani mbalimbali na kwamba atahitajika kuwa ni mwenye subra.
 
Hizi aya ni katika surat Luqman.
Unazielewaje unazifafanuaje? Aya uliyoiweka kama rejea na hizi hapa za chini, unazielewaje?

14. Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio. 14


15. Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.
 
Wote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!mwingine yesu ni mungu wengine Kuna mungu tofauti na yesu
Hakuna mkristo asiyeamini YESU ni MUNGU. Narudia tena HAKUNA.... anayeamini hvyo si mkristo na wala hajui fumbo la utatu mtakatifu yani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. Period
 
Allah ameweka wazi

Koran 9;23. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri (wasio waislamu)kuliko Imani (uislam)....
 
Wote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!mwingine yesu ni mungu wengine Kuna mungu tofauti na yesu
Aneamini Yesu si Mungu sio mkristo
Ukristo ni kuamini Yesu ni Mungu
 
Safari njema
 
Wote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!
Kuna wanaoamini jiwe la macca linasamehe dhambi na Kuna wasio amini
Kipindi Cha pedophile Muhammad Kuna mtu aliitwa Umar alipinga kabisa Ibada ya jiwe
 
Wote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?
Umeulizwa shia na sunni Ibada zenu zinafanana unajibu kama Muhammad

Aliechanganya jina la baba wa Musa ,Mariam na haruni akasema ndie baba wa Mariam mama wa Yesu
 
Shia si waislamu bali wanajinasibu na Uislamu ila kiuhalisia sio waislamu kabisaaa
Inamaana shia hawaamini Muhammad na Allah wapo sawa

Soma
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…