Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Kitimo.to ikishindwa hoja haya ndio mtokeo yakeKijibwa cha mudi kinaleta papara hapa na kujifanya kipo chachi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitimo.to ikishindwa hoja haya ndio mtokeo yakeKijibwa cha mudi kinaleta papara hapa na kujifanya kipo chachi.
Yan papa kahalalisha ushoga?? hii dini hii
Kwani umeanza kuamini uwepo wa MUNGU?Kumbe Quran ndiyo inataka Waislam wawatenge wasio waislam?
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Hii inamaana kama hakuna mtu kachinjwa waislamu hamfuati uislam wa pedophile Muhammad mmetunga wenuNani alie ritadi kafanyiwa hivyo we kitimo.t?
Shia si waislamu bali wanajinasibu na Uislamu ila kiuhalisia sio waislamu kabisaaaKwamba Shia na Suni ibada zinafanana!!???
Peleka uongo wako kwenye vijiwe vya kahawa.
Kwahiyo mke zaidi ya mmoja kuna athari gani?!Yale yale ya kuabudu siku wewe muache aende akawe muislam then akaonje joto la jiwe,watu wanakimbilia favours za ajabu mimi nina experience na hili jambo.
Mke zaidi ya mmoja sijui kutoa talaka na vitu kama hivyo imani iliyojengwa rohoni haiachwi kizembe zembe hivi kuna cha ziada unafikiri anakotaka kuhamia hakuna wanaotaka kutoka?,wapo huko sababu wanajua wanafanya nini sasa kama mtu anafanya kwa ajili ya fulani huyo apewe nafasi
Nafikiri ameona na ataona mengi zaidi ikiwemo kufikwa na mitihani mbalimbali na kwamba atahitajika kuwa ni mwenye subra.Mkaribishe kubusu jiwe weka wazi
Alafu msomee na hii , kwamba anaebadili dini ya uislam jambia linapita kwenye shingo yake Allah amesema
Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
Hizi aya ni katika surat Luqman.Kwa mafundisho ya Allah yanasema akiwa muislamu awatenge mpaka wazazi wake na ndugu zake Kwanini asiogope?
Allah na Muhammad wanasema
Koran 9;23. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri (wasio waislamu)kuliko Imani (uislam)....
Hakuna mkristo asiyeamini YESU ni MUNGU. Narudia tena HAKUNA.... anayeamini hvyo si mkristo na wala hajui fumbo la utatu mtakatifu yani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. PeriodWote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!mwingine yesu ni mungu wengine Kuna mungu tofauti na yesu
Allah ameweka waziHizi aya ni katika surat Luqman.
Unazielewaje unazifafanuaje? Aya uliyoiweka kama rejea na hizi hapa za chini, unazielewaje?
14. Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio. 14
15. Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.
Aneamini Yesu si Mungu sio mkristoWote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!mwingine yesu ni mungu wengine Kuna mungu tofauti na yesu
Safari njemaNapenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Kuna wanaoamini jiwe la macca linasamehe dhambi na Kuna wasio aminiWote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?nyie sasa?!!
Umeulizwa shia na sunni Ibada zenu zinafanana unajibu kama MuhammadWote wanaamini ALLAH ndie mola wetu sote au kuna anaeamin tofauti kati ya hayo makundi?
Amen amenHakika, naomba Yesu Kristo afungue neema yake watu wasiomjua wamjue alivyo...
Je shia hawamuabudu Allah na kuweka jina la Muhammad, na je hawaendi kubusu jiwe?Shia si waislamu bali wanajinasibu na Uislamu ila kiuhalisia sio waislamu kabisaaa
Inamaana shia hawaamini Muhammad na Allah wapo sawaShia si waislamu bali wanajinasibu na Uislamu ila kiuhalisia sio waislamu kabisaaa