Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
,Kuhusu kusilimu nenda kwenye msikiti wowote ambao upo karibu na eneo lako uulizie viongozi wa msikiti ukishaonana nao waambie kuwa unataka kusilimu watakuelekeza utaratibu unaotakiwa!.
Muhimu elewa kwamba kusilimu ni bure hakuna malipo yoyote utakayotakiwa kulipia zaidi ya kutamkishwa shahada ya kukubali na kutamka kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni mtume wa Allaah.
Sina uhakika kama kuna watu wanauliwa na kama wapo itabidi nihakikishe kuwa kweli Waislamu ndio wanaowaua halafu nijue sababu then ndo nijudgeNdugu zako katika Imaan wanachinja wasioiamini dini ya haki huko Syria na mmekaa kimya.Dini unayoinadi inakuangusha kutokana na roho mbaya na mafundisho ya chuki
Eti dini ya haki
Mbona iko sahihi tuUsimdanganye,Kule msikitini ataambiwa atamke maneno haya "Hakuna Mungu ispokuwa allah na Mihammad ni mtume wake"
Neno abudu kwenye shahada halipo.
Usikwepeshe ukafiri!
,
Kwahiyo wewe na ushetani wako wote unanizidi Nini mimi? Pumbavu kweli wewe.Wewe mjinga na ukristo wako unadhani unathamani kuliko mjinga aliye muislam??
Siku ujitambua ndiyo utajua kuwa wewe ni mjinga,mpumbavu,na mtumwa wa fikra.
Ebu waulize watoto wako ambao hujawaambukiza ugonjwa wa ukristo au uislam kuwa kati yako wewe mzazi wake na yesu au muhamad nani bora,kwa vile mtoto huwa ni mkweli atakupa jibu fasaha!!
Weka hoja matusi Mimi huwa sichukii kabisa.Kanisa ajenge mchungaji kwa akili na pesa yake halafu useme unaenda kwa yesu kupeleka moyo huo ni ujuha mlioachiwa na ukoloni kwanini.
Wewe ni jiwe
Kasome vizuri biblia then njoo hapa. Kwa Sasa wewe bado Sana unamaliza bando lako Mr. Alafu baadae uanze kulalamika maisha magumu hahahaKwani wewe hiyo biblia yako ni wapi alisema Uwe naye wakati wewe si myahudi au wewe ni myahudi mweusi??
Ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito??Quran ni mkusanyiko wa matamko ya wajinga na wenye chuki dhidi ya wengine. Ni katiba ya wauaji.
Hapo ndipo ilipo Aya inayokuambia Uwe na Yesu?Kasome vizuri biblia then njoo hapa. Kwa Sasa wewe bado Sana unamaliza bando lako Mr. Alafu baadae uanze kulalamika maisha magumu hahaha
Ndiyo kazi ya akili binafsi ni kuchunguza kupima kuchambua na kuja na jibu la maana zaidi...kwani kuna mzungu kakushikia akili ...jifunze kutumia akili binafsi kupambanua mambo au unataka kutuambia akili ni kukataa kila kitu cha mzungu na kuamini kila kitu cha mwafrica?🙄 au tukikubali kila kitu unachosema wewe ndiyo akili?🙄 wacha upuuzi wa ccm ..tumia akiliHuo ndiyo ujinga sasa unaojiendekeza,haya haohao wazungu wamekuandikia kuwa umetokana na manyani,tena wakakuandikia umetokana na udongo,tena haohao wakakuandikia kuwa umetoka na adam,nk je yoooote umekubaliana nayo kuwa ni ya haki na mema?
Siyo kila alichoandika mzungu au mwarabu au MWAFRIKA ni cha haki ,chema au ukweli inapswa kudadisi na kujiongeza kulingana na uhalisia ,usiwe bwege!!
Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbieNdiyo kazi ya akili binafsi ni kuchunguza kupima kuchambua na kuja na jibu la maana zaidi...kwani kuna mzungu kakushikia akili ...jifunze kutumia akili binafsi k7pambanua mambo au unataka kutuambia akili ni kukataa kila kitu cha mzungu na kuamini kila kitu cha mwafrica?🙄 au tukikubali kila kitu unachosema wewe ndiyo akili?🙄 wacha upuuzi wa ccm ..tumia akili
Wewe siyo mwislamu wala hujawahi kuona mtu akisilimu!Usimdanganye,Kule msikitini ataambiwa atamke maneno haya "Hakuna Mungu ispokuwa allah na Mihammad ni mtume wake"
Neno abudu kwenye shahada halipo.
Usikwepeshe ukafiri
,
Mbona hata sunni na shia uwa wanatafsiri tofauti, sunni wanawahi kusherehekea sikukuu ya kula pilau kabla ya shia. Sunni wanapenda sana kufuga midevu mpaka kwenye kifua lakini shia wao watu wa suti suti.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Uislam ndani yake una mgawanyiko kama ulivyo ukristu, kuna shia, sunni, ahmadia etc. Wewe umetaja mifano michache kwa upande wa wakristu, ila nikuulize unawafahamu boko haram, Isis, Al shabab etc. Labda huko ni mbali, umewahi jiuliza waganga wengi wanatokea dini zipi?. Fanya utafiti zaidi utapata majibu.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Wakupokee kivipi wakati unajitoa?!Vipi ukitaka kujitoa kwenye uislamu wanakupokea vizuri hivyo hivyo?
KWenye kuslimu si kuna kubadilisha jina kusajiriwa kama member mpya, sasa ukitaka kujitoa maana yake si kiungwana si unatikiwa kwenda kuaga pamoja kufuata taratibu za kuondoa jina lako kwenye membership databaseWakupokee kivipi wakati unajitoa?!
Kwa mfano mwanachama wa CCM akitaka kijitoa CCM kwenda chama kingine Hawa CCM watampokeaje vizuri ?!
Ni jumuia gani hapa duniani inayompokea mtu anayeondoka?!
Mara zote anayepokelewa ni yule anayekuja !. Anayeondoka hapokelewi sehemu yoyote !.
Kulingana na mfano nilioutoa, je utaratibu huo wa kuaga kiungwana huwa upo kwa mtu anayehama chama kimoja cha siasa kwenda chama kingine ?!KWenye kuslimu si kuna kubadilisha jina kusajiriwa kama member mpya, sasa ukitaka kujitoa maana yake si kiungwana si unatikiwa kwenda kuaga pamoja kufuata taratibu za kuondoa jina lako kwenye membership database
Carry on, no body can undo/rewire your altred mental faculties, pls remain blessed always1. Kwa kipindi chote cha Ukristo wako ni wazi kabisa hukujua ulichokuwa unakiabudu.
2. Mungu ni Roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
3. Ibada yako ime base kwenye sheria zaidi. Wakati msingi wa Ukristo ni neema.
4. Mwisho, ni muhimu kutambua ibada ni ya mtu mmoja, na inahusu mahusiano yako binafsi na Mungu, sio kikundi.