Mbona ilikuwa live, sio utaniπππ Umeme umerudi mwee, hivi mtu anaweza kubali kujianika mbele za watu vile,?
Hapana sio ya nabii Tito, haya ni mafundisho ya demu aliyebakwa na Mudi, Aisha mremboNdiyo mafundisho ya nabii wako Tito hayo ??
Unazani nakataa hapana, ni kwake wasio likubali Hilo kama Mungu anaweza kufanya hilo.Mbona ilikuwa live, sio utani
Ukweli kuwa ukifa utaenda kukuta mito ya mvinyo kule Akhera na wanawake mabikira 40 wa kuwagonga na pembeni 60 wakikusubiri?Ni kweli uislamu una asilimia kubwa ya ukweli tofauti na ukristo. Lakini nayo huwa ina mambo ya hovyo kutokana na wafuasi wake wengi kuwa watu wa vurugu.
Yesu Alikufa akafufuka,muddy pedohile yupo jehanam tunamswalia
Nimesema asilimia kubwa sio mambo yote wako sawa.Ukweli kuwa ukifa utaenda kukuta mito ya mvinyo kule Akhera na wanawake mabikira 40 wa kuwagonga na pembeni 60 wakikusubiri?
Unahitaji maombi kijana, Uislam si dini ni CULT ya shetani.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Una uthibitisho ganiUnahitaji maombi kijana, Uislam si dini ni CULT ya shetani.
Hapana sio ya nabii Tito, haya ni mafundisho ya demu aliyebakwa na Mudi, Aisha mrembo
Jesus, looking at him, loved him, and saidβ¦.
Yesu anasema wapi bwana mbona mnamlisha maneno yasiyo yake bali ya wakoloni waliotunga biblia?
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata
Mi Niko Nanjilinji, hata huku Yesu anaokoa na kutenda kazi Kama huko IsraelYesu katumwa kwa wana Israeli , wewe kijana wa gongo la mboto hakuhusu
Mbona yeye hakutumwa kwa waafrika ataokoa vipi ?Mi Niko Nanjilinji, hata huku Yesu anaokoa na kutenda kazi Kama huko Israel
Hujawahi kula kitimoto ya Kazimoto pale segerea,usingeongea huu upuuzi,hadi waarab wanakushangaaπNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Wewe usituzuge eti mkristo na kama ni mkristo kweli basi itakuwa haujitambui.
Unatakiwa kumshukuru muumba wako umezaliwa kwenye nchi yenye wakristo wengi, vinginevo ungeshadanja kitambo au pengine usingezaliwa kabisa.
Hao watu wahovyo kabisa wewe jaribu uingie youtube uangalie maisha yao kwenye izo nchi zao utakuja kuedit huu uharo wote ulioweka hapa. Kama haujui hawa wanapigana risasi za kichwa mchana kweupe utafikiri wanapiga matikiti.